Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Karibu PM. Kama unahitaji kweli.Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
Hicho ni kitu kimoja kasoro majina tuNatumai mko salama na wazima wa afya. Ombi langu ni kwa yeyote yule mwenye kujua uimara wa hizi kampuni mbili za friji BOSS na Mr UK ipi ipo vizuri katika utendaji?
Nahitaji kununua friji na sina uzoefu nazo kabisa Wakuu msaada tafadhali [emoji120]
Asante sana mkuu [emoji120]zote ni takataka hapo
tafuta:
1. hisense
2. samsung
3. LG
umekosa kabisa chukua Von, WestPoint
Nenda D.I.T wanatoa short course wapo vizuri nimesoma hapoBado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
Picha mkuu na kabei kwa chini tafadhali ...Update:[emoji116]
Nilifanikiwa kununua friji la BOSS lita 145. Friji ipo njema sanaaaa sijutii kulinunua.
Asanteni pia kwa ushauri wenu nyote mliohusika kunipa ushauri mbalimbali [emoji120]