Sefet
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 476
- 191
Wakuu nataka kuagiza gari toka Japan, gari yenyewe ni SUZUKI SWIFT ya mwaka 2004, nimeona kwenye mtandao FOB ni $2035, naomba wenye uzoefu mnisaidie japo kwa makadirio itanigharimu kiasi gani kuisafiri,Ushuru ,bima hadi ingie barabarani!?? natanguliza shukrani..




