Msaada kwa wenye uzoefu wa magari

Msaada kwa wenye uzoefu wa magari

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Poleni na weak and wakuu!!
Hivi gari la gear 5 lenye speed 180!! Niaendesha hadi gear no.5 na speed ikafika 180 alafu hapo hapo nikukuta mteremko mkali gari nikaweka free!!!
Je!!! Speed mita inakuwa ni hiyo hiyo 180 au!!
Msaada hapa tafadhali!!
 
Nimeingia choo cha kike hapa, Mimi nimezoea mkokoteni tu yaani spidi ni kasi ya miguu yako tu@
 
Lengo lako ni nini hasa?, tuanzie hapo ili tukushauri vizuri
 
Hatari sana huo mchezo. Unatafuta kifo nduguyangu. Unaweka gear neutral kwenye mteremko! Watu wengi huamini ni kubana mafuta lakini hamna lolote. Siku steering iki lock hapo ndo utaona gharama ya mafuta uliyokuwa unaikwepa ni ndogo kuliko madhara yake. Halafu mbaya zaidi unakuta gari yenyewe haina ABS na brake zina lock.
 
Sema haki ya mungu![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hatari sana huo mchezo. Unatafuta kifo nduguyangu. Unaweka gear neutral kwenye mteremko! Watu wengi huamini ni kubana mafuta lakini hamna lolote. Siku steering iki lock hapo ndo utaona gharama ya mafuta uliyokuwa unaikwepa ni ndogo kuliko madhara yake. Halafu mbaya zaidi unakuta gari yenyewe haina ABS na brake zina lock.

Maelezo yako mazuri lakini hujajibu swali la mtoa hoja!!
 
Poleni na weak and wakuu!!
Hivi gari la gear 5 lenye speed 180!! Niaendesha hadi gear no.5 na speed ikafika 180 alafu hapo hapo nikukuta mteremko mkali gari nikaweka free!!!
Je!!! Speed mita inakuwa ni hiyo hiyo 180 au!!
Msaada hapa tafadhali!!
Bila shaka 'spidi mita' itabaki vivyo hivyo kwa kuwa itakuwa imefukia mwisho (kutakuwa na kizuizi), kama kutakuwa na nyongeza ya kusogea basi itasogea hadi hapo mwisho tu.

Lakini spidi ya gari itaongezeka kuzidi inayoonekana kwenye 'deshibodi', inawezekana gari ikatembea hadi kufikia '200kph' au zaidi kutegemeana na urefu wa mteremko na ubora wa barabara.

ONYO:
Mchezo huo ni hatari. Usijaribu kufanya hivyo hata siku moja, bila shaka swali lako lilikuwa kwa ajili ya elimu tu.

Haifai kwa magari ya 'manual... na haifau kwa magari ya automatic... '

Gari likiwa katika mwendo kasi kisha gia akawekwa kuwa 'free' kuna uwezekano mkubwa wa dereva kushindwa kulidhibiti, ajali nyingi zimetokea kwa sababu hiyo ya kuweka free.

Ushauri:
Kwa wale wanaotaka 'kubana' matumizi ya mafuta miteremkoni ni bora kuachia 'akselereta pedo' kuliko kuweka free.

"... a slightly release of accelerator pedal saves sufficient amount of fuel..."
 
Acha kupotosha watu!ukiacha kukanyaga mafuta na gari ipo kwenye gia lazima itazima
 
Back
Top Bottom