Msaada kwa wenye uzoefu wa magari

Msaada kwa wenye uzoefu wa magari

Speed ya gari inavyosoma inasoma kulingana na mzunguko wa tairi inavyozunguka so kama ulikuwepo speed 180 itasoma kulingana na mzunguko wa tairi unavyozungushwa na gearbox
 
Sasa hapo mkuu ndo ishafika 180 na hapo hapo nikakuta mteremko nikaweka free vp sasa speed ni hiyohiyo au inanakuwaje hapo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Acha kupotosha watu!ukiacha kukanyaga mafuta na gari ipo kwenye gia lazima itazima
Wala hajadanganya chochote. Gar ikiwa kweny speed ndogo sana ukiachia mafuta ndo litazima ila kwama engine inamzunguka tayar gar haizimi. Sasa aliposema mteremkon unaweza kuachia jukanyaga mafuta yupo sahihi gar litaendelea kwenda na contol utakuwa nay kiac kwa sabab ya gia
 
Back
Top Bottom