Hatari sana huo mchezo. Unatafuta kifo nduguyangu. Unaweka gear neutral kwenye mteremko! Watu wengi huamini ni kubana mafuta lakini hamna lolote. Siku steering iki lock hapo ndo utaona gharama ya mafuta uliyokuwa unaikwepa ni ndogo kuliko madhara yake. Halafu mbaya zaidi unakuta gari yenyewe haina ABS na brake zina lock.
Bila shaka 'spidi mita' itabaki vivyo hivyo kwa kuwa itakuwa imefukia mwisho (kutakuwa na kizuizi), kama kutakuwa na nyongeza ya kusogea basi itasogea hadi hapo mwisho tu.Poleni na weak and wakuu!!
Hivi gari la gear 5 lenye speed 180!! Niaendesha hadi gear no.5 na speed ikafika 180 alafu hapo hapo nikukuta mteremko mkali gari nikaweka free!!!
Je!!! Speed mita inakuwa ni hiyo hiyo 180 au!!
Msaada hapa tafadhali!!
Acha kupotosha watu!ukiacha kukanyaga mafuta na gari ipo kwenye gia lazima itazimaBila shaka 'spidi mita' itabaki vivyo hivyo kwa kuwa itakuwa imefukia mwisho (kutakuwa na kizuizi), kama kutakuwa na nyongeza ya kusogea basi itasogea hadi hapo mwisho tu.
Lakini spidi ya gari itaongezeka kuzidi inayoonekana kwenye 'deshibodi', inawezekana gari ikatembea hadi kufikia '200kph' au zaidi kutegemeana na urefu wa mteremko na ubora wa barabara.
ONYO:
Mchezo huo ni hatari. Usijaribu kufanya hivyo hata siku moja, bila shaka swali lako lilikuwa kwa ajili ya elimu tu.
Haifai kwa magari ya 'manual... na haifau kwa magari ya automatic... '
Gari likiwa katika mwendo kasi kisha gia akawekwa kuwa 'free' kuna uwezekano mkubwa wa dereva kushindwa kulidhibiti, ajali nyingi zimetokea kwa sababu hiyo ya kuweka free.
Ushauri:
Kwa wale wanaotaka 'kubana' matumizi ya mafuta miteremkoni ni bora kuachia 'akselereta pedo' kuliko kuweka free.
"... a slightly release of accelerator pedal saves sufficient amount of fuel..."
ikiwa speed itazima vipi?Acha kupotosha watu!ukiacha kukanyaga mafuta na gari ipo kwenye gia lazima itazima
Wewe ni dereva kweli au ?Acha kupotosha watu!ukiacha kukanyaga mafuta na gari ipo kwenye gia lazima itazima