MSAADA KWA WENYEJI WA DAR ES SALAAM BROWN PAPER ZINAPOPATIKANA

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,304
HABARI ZENU WAKUBWA KWA WADOGO
Jaman kutokana na Sakata la mifuko ya Rambo (plastic packings )kupigwa marufuku nimebahatika kujifunza namna ya kutengeneza mifuko mbadala kwa kutumia Brown pepa.
Kozi hii nineweza kujifunza kwa wajasiliamali wanaoendesha mafunzo yao Kwa njia ya Online na hadi saizi nimejua lakini changamoto yangu ni namna ya kupata material yaani Brown Papers au mifuko ya Kaki. Naombeni msaada kwa anaejua material haya yanapatikana wapi mimi niko dodoma.

0765536547.

IMG-20190529-WA0015.jpeg
IMG-20190529-WA0006.jpeg
IMG-20190529-WA0005.jpeg
IMG-20190529-WA0012.jpeg
IMG-20190529-WA0015.jpeg
 
Soon nitawaletea link ya group la whatsup kwa wanaotaka kujifunza tu pe patients nikipata uhakika wa material nitaweka link hapa niwafundishe wengi lengo letu ni kujikwamua kiuchumi nataka niweke link kias kwamba ukishajua na uhakika wa material uwepo
 
HABARI ZENU WAKUBWA KWA WADOGO
Jaman kutokana na Sakata la mifuko ya Rambo (plastic packings )kupigwa marufuku nimebahatika kujifunza namna ya kutengeneza mifuko mbadala kwa kutumia Brown pepa.
Kozi hii nineweza kujifunza kwa wajasiliamali wanaoendesha mafunzo yao Kwa njia ya Online na hadi saizi nimejua lakini changamoto yangu ni namna ya kupata material yaani Brown Papers au mifuko ya Kaki. Naombeni msaada kwa anaejua material haya yanapatikana wapi mimi niko dodoma.

0765536547.

View attachment 1111114View attachment 1111116View attachment 1111118View attachment 1111120View attachment 1111123
Mimi siuzi Roller kama hayo uliyoweka hapo. Nauza bando la karatasi 500 za A1 kwa TSh 65,000.
Napatikana Dar es Salaa Kariakoo. Nje ya Dar natuma kwa gharama zako.
Nipigie 0679047446 au 0767157788
 
Hiyo brown paper nitaweza kubebea utumbo toka vingunguti? au samaki toka feri??
 
[emoji23][emoji23]
Hiyo brown paper nitaweza kubebea utumbo toka vingunguti? au samaki toka feri??
Mkuu hapo sis tunatafta altenative way ila ni changanoto nadhani utabebea vitakavyowezekana kubebeka ila litakaloshindikana utaenda na kikap
 
Hiyo brown paper nitaweza kubebea utumbo toka vingunguti? au samaki toka feri??
Kijana una nunua kapu kisha nyama uliyoweka ktk hii mifuko unatumbukiza kwenye kapu.

Ndio hivyo wahenga tulikuwa tunabeba vitu kama nyama miaka ya 80's na mwanzani 90's wakati mifuko ya plastiki haijaenea sana.
 
Nenda Twiga Paper na TLL maeneo ya Mbozi Road kwa ujumla kuna viwanda vingi vinavyozalisha hii kitu
HABARI ZENU WAKUBWA KWA WADOGO
Jaman kutokana na Sakata la mifuko ya Rambo (plastic packings )kupigwa marufuku nimebahatika kujifunza namna ya kutengeneza mifuko mbadala kwa kutumia Brown pepa.
Kozi hii nineweza kujifunza kwa wajasiliamali wanaoendesha mafunzo yao Kwa njia ya Online na hadi saizi nimejua lakini changamoto yangu ni namna ya kupata material yaani Brown Papers au mifuko ya Kaki. Naombeni msaada kwa anaejua material haya yanapatikana wapi mimi niko dodoma.

0765536547.

View attachment 1111114View attachment 1111116View attachment 1111118View attachment 1111120View attachment 1111123
 
Ebu lete link ya namna ya kutengeneza mifuko ya karatasi

Back
Top Bottom