incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,536
- 4,304
Ukitaka kujifunza pia tunafundisha kwa online via video, voice note,...etcHii ina weza kuwa dill nzuri ngoja namimi nisubirie wazowsfu!
Utani mwingine sio mzuri...tumia mifuko ya cement.
Haipo mkuu alafu mifuko ya cement utatengeneza packag ngaptumia mifuko ya cement.
Mimi siuzi Roller kama hayo uliyoweka hapo. Nauza bando la karatasi 500 za A1 kwa TSh 65,000.HABARI ZENU WAKUBWA KWA WADOGO
Jaman kutokana na Sakata la mifuko ya Rambo (plastic packings )kupigwa marufuku nimebahatika kujifunza namna ya kutengeneza mifuko mbadala kwa kutumia Brown pepa.
Kozi hii nineweza kujifunza kwa wajasiliamali wanaoendesha mafunzo yao Kwa njia ya Online na hadi saizi nimejua lakini changamoto yangu ni namna ya kupata material yaani Brown Papers au mifuko ya Kaki. Naombeni msaada kwa anaejua material haya yanapatikana wapi mimi niko dodoma.
0765536547.
View attachment 1111114View attachment 1111116View attachment 1111118View attachment 1111120View attachment 1111123
Mkuu hapo sis tunatafta altenative way ila ni changanoto nadhani utabebea vitakavyowezekana kubebeka ila litakaloshindikana utaenda na kikapHiyo brown paper nitaweza kubebea utumbo toka vingunguti? au samaki toka feri??
Kijana una nunua kapu kisha nyama uliyoweka ktk hii mifuko unatumbukiza kwenye kapu.Hiyo brown paper nitaweza kubebea utumbo toka vingunguti? au samaki toka feri??
HABARI ZENU WAKUBWA KWA WADOGO
Jaman kutokana na Sakata la mifuko ya Rambo (plastic packings )kupigwa marufuku nimebahatika kujifunza namna ya kutengeneza mifuko mbadala kwa kutumia Brown pepa.
Kozi hii nineweza kujifunza kwa wajasiliamali wanaoendesha mafunzo yao Kwa njia ya Online na hadi saizi nimejua lakini changamoto yangu ni namna ya kupata material yaani Brown Papers au mifuko ya Kaki. Naombeni msaada kwa anaejua material haya yanapatikana wapi mimi niko dodoma.
0765536547.
View attachment 1111114View attachment 1111116View attachment 1111118View attachment 1111120View attachment 1111123
Soon nitawaletea link ya group la whatsup kwa wanaotaka kujifunza tu pe patients nikipata uhakika wa material nitaweka link hapa niwafundishe wengi lengo letu ni kujikwamua kiuchumi nataka niweke link kias kwamba ukishajua na uhakika wa material uwepo