Msaada kwa yeyote anayeijua biashara ya Amazon FBA

Msaada kwa yeyote anayeijua biashara ya Amazon FBA

Website gani mkuu, na baada ya kuifungua hiyo account unaitumia vipi ikiwa huna physical access ya moja kwa moja? Ukipatwa shida kwenye hyo account nani anashughulikia ikiwa wewe upo huku, hebu tiririka na sisi tupate pakuanzia?

Doola.com
 
Yeah nikaagiza kibaby walker.mtandaoni kunahela sana sana

Vijana wengi kitanzania wamelala sana ukiwambia mtandaoni kuna hela wanawaza kutapeliwa tu.

Nilichojifunza Maskini wengi ni arrogant (wajuaji) hata akiambiwa idea anadakia kukosoa ndomana wenye hela wanapiga kimyakimya
Umeongea ukweli mtupu
 
Yeah nikaagiza kibaby walker.mtandaoni kunahela sana sana

Vijana wengi kitanzania wamelala sana ukiwambia mtandaoni kuna hela wanawaza kutapeliwa tu.

Nilichojifunza Maskini wengi ni arrogant (wajuaji) hata akiambiwa idea anadakia kukosoa ndomana wenye hela wanapiga kimyakimya
Mkuu ebu nipe muongozo hapa maana account yangu ya amazon seller nimekwama upande wa credit card maana bank zetu zinazingua..sasa hao doola unafanyaje nao kazi maana nataka kufanta amazonFBA sasa malipo yangu napokea vp maana nitawekeza pesa usalama umekaaje?
 
Mkuu mimi nimevuka hapo ttzo limebaki kwenye bank account tunavukaje hapo?? Tupambane tuvuke hapo tukapige pesa
mkuu ukitaka bank account ya kimarekani tumia payooneer,geepay etc.... ukikwama check me through my inbox
 
Habarini ndugu zangu na poleni kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Kwa mtu yeyote anayejua namna ya kufanya biashara Amazon naomba anipe muongozo kwani natamani sana kufanya biashara ya namna hii. Nimejaribu kuifatilia jinsi inavyofanyika na nimegundua yafuatayo.

1. Sio lazima uishi huko majuu.
2. Unaweza kufungua account popote duniani ukiwa na computer yako na internet coverage ukafanya.
3. Ni salama na rahisi.

Namna inavyofanyika
1. Tengeneza sellers account
2. Tafuta bidhaa unayotaka kuuza kutoka kwa msambaziji
3. Itume kenda kwenye godauni zao, hapo watakuhifadhia na kukusaidia kufunga na kumpelekea mteja pindi atakaponunua.[storage unalipia kwa mwezi]
4. Weka orodha yako safi kwenye account yako ya mauzo ya Amazon. Panga bei, subiri mteja.

Changamoto niliyokutana nayo
1. Jinsi ya kufungua account ya muuzaji, hapa napata changamoto kwenye anuani nayotumia ya hapa bongo kwani wanataka verification ambapo watakutumia post card ili kuthibitisha makazi yako. Nimejaribu sana kuwaeleza kuwa anuani ni sahihi lakini kila mara naambiwa address verification failed due to invalid address.
Kama kuna anayejua namna ya kufanya naomba anisaidie ili niweze kuiwezesha account yangu.

2. Nikijaribu kutumia address ya mtu mwingine aliyeko nje, napata shida kwenye bank account details. Wananitaka kuweka bank za kwao. Binafsi sina. Bank za huku zinakuwa not supported.

Kwa yeyote anayejua, naomba msaada tafadhali. Karibuni
Huwa napenda sana kukutana na wabongo kama wewe. Mawili

1. Find out jinsi ya kuandika anuani kwa usahihi. Fungua account payoneer, then utumie hiyo address. Iliwezekana have a personal postal address. Ni elf 10 tu per year.
2. Fungua account wise.com. Inakuja na US bank account ambayo unaweza kuweka mle.

Jaribu mawili hayo ukikwama leta mrejesho.
 
Back
Top Bottom