Msaada kwa yeyote anayeijua biashara ya Amazon FBA

Website gani mkuu, na baada ya kuifungua hiyo account unaitumia vipi ikiwa huna physical access ya moja kwa moja? Ukipatwa shida kwenye hyo account nani anashughulikia ikiwa wewe upo huku, hebu tiririka na sisi tupate pakuanzia?

Doola.com
 
Umeongea ukweli mtupu
 
Mkuu ebu nipe muongozo hapa maana account yangu ya amazon seller nimekwama upande wa credit card maana bank zetu zinazingua..sasa hao doola unafanyaje nao kazi maana nataka kufanta amazonFBA sasa malipo yangu napokea vp maana nitawekeza pesa usalama umekaaje?
 
Mkuu mimi nimevuka hapo ttzo limebaki kwenye bank account tunavukaje hapo?? Tupambane tuvuke hapo tukapige pesa
mkuu ukitaka bank account ya kimarekani tumia payooneer,geepay etc.... ukikwama check me through my inbox
 
Huwa napenda sana kukutana na wabongo kama wewe. Mawili

1. Find out jinsi ya kuandika anuani kwa usahihi. Fungua account payoneer, then utumie hiyo address. Iliwezekana have a personal postal address. Ni elf 10 tu per year.
2. Fungua account wise.com. Inakuja na US bank account ambayo unaweza kuweka mle.

Jaribu mawili hayo ukikwama leta mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…