Msaada kwa yeyote mwenye CD ya nyimbo za Elrehema Paul

stevepaul

Member
Joined
May 15, 2017
Posts
94
Reaction score
132
Wakuu GT

Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Niliinunua CDya huyu dada mara ya mwisho kama miaka 10 iliyopita (ilikua 2013) kwa sababu nilivutiwa sana na nyimbo zake. Kwa bahati mbaya hiyo CD imevunjwa na watoto na sina copy nyingine.

Kwa yeyote anayemfahamu huyu dada na ana CD yake naomba anisaidie kuipata.

Natanguliza shukrani.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…