Msaada; kwa yeyote mwenye uzoefu na nissan x-trail

we si umesema extrail haina ajali na tatizo lililomuua jamaa ni stability alilala nayo ikakataa
Ukisema 'alilala nayo ikakataa' wamaanisha alikua akipiga kona kwa kulala upande kama vile kwa baiskeli ndio ikakataa au wamaanisha je?
Tena wapi nikasema 'extrail haina ajali', ni gari gani uwa na ajali? Si uzembe na hitilafu ndizo huleta ajali, sio magari uwa na ajali, imekua homa au mimba?
Naona ulikua ukitafuta jukwaa ushonaji sweta ukapotea njia mama, jaribu hapo nyuma kati ya mapishi na umbea!
 
ha ha ha ha ha sawa mkuu utakuta nabishana na mtu hajui hata ku drive
 
Kuna mtu namfahamu Range Rover Sport ilimuua. Tena hapa dar wala sio highway.
Mkuu kusafiri na vogue kwa njia zetu unaweza kukanyaga hadi iyo 180 fresh tu ila mashine achana nayo ni habari nyingine iko stable sana
 
Back
Top Bottom