Msaada Kwahili Wakuu

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,339
Nimepata mdada wa kazi kwang, nimchapakazi sana, msafi na mwang umpenda sanaaa kwa ufupi anasifa nzuri.

But anatatizo moja tu, kinywa chake ( mdomo) Unanuka harufu kali mara kwa mara pindi hakiongea tuuu

Je wakuu nitumie nini tatizo hili liishe au dawa gani?
ASANTE.
 
vitu vidogo hivyo, usijali. Mbona na wewe una tatizo hilo hilo ila hujijui tu?
 
kama tatizo dogo si mumueleweshe?mzizi mkavu alishawahi kuelewesha dawa.nina amini atakuelewesha
 
mpe dozi ya kuswaki kutwa mara tatu,na atafune karafuu
 
chukuwa tulatula (ndulele) nne zikatekete weka mafuta ya taa vijiko viwili na kamulia limao au ndimu chemsha na maji glass mbili kisha awe anasukutua asubuhi na jioni itamsaidia sana ni kweli na hakika.harufu itaisha kabisa.kila la kher.i
 
mpeleke hospitali Mkuu
 
Asante mkuu but mafuta ya taa sio tatizo kwa afya.
 
chukuwa tulatula (ndulele) nne zikatekete weka mafuta ya taa vijiko viwili na kamulia limao au ndimu chemsha na maji glass mbili kisha awe anasukutua asubuhi na jioni itamsaidia sana ni kweli na hakika.harufu itaisha kabisa.kila la kher.i

mkuu hiyo mbona dawa ya jino af kuna taratibu za kuskutua maana ni sumu japo haiui hata mafuta ya taa ni mengi mno hapo huwa ni matone matano tu!!! Na hii nilishahi kuifafanua hapa hapa jf kwa kirefu zaidi sema tu siwez kuonganisha topic na kwasasa natumia cm!!!

kumbuka kuwa harufu mbaya haianzii mdomon kwan wangap upo nao karbu meno meupe na kila siku wanabadlisha dawa za meno lkn akikupulia tu kama mavi kuku na hii intokana na mpangilio mbaya wa vyakula hasa wakati wa usiku mf; unakuta usiku mmekula pilau mixer cocacola, hapo anakula akisikia kiu maji yapo hapohapo anamaliza kula tu Mtindi wa tanga fresh ya barid inasubir kwa frij kumbuka pia unapokula huku unakunywa na maji
chakula kinachacha tumbon hakimeng'enywi kinatulia kwa mda ambao sio wakaida mpaka process ianze upya
sasa jiulize harufu itakayotoka asubuh kama sio choo basi tumbo limejitahid sana kukuheshimu!!!!

dawa yake ni ndogo sana
chukua unga wa mdalasini kijko 1
changanya na asali kijiko 1 au zaidi lkn ratio hiyohyo sawa kwa swa
ukimaliza shughul zako za usiku kula
sijui kuwatch tv n.k ukiwa unaenda kulala sasa kula huo mchanganyiko wako af kesho asubuh utaleta ushuuda hapa!!!
Siku njema!!
 
Niliwahi sikia kutafuna vitunguu au vitunguu swaumu vinaondoa hiyo hali! wataalam watasaidia, anyway ajaribu vote cauze havina madhara kiafya
 
Nafikiri kwa jibu la gody limekaa vye ni bora ukalifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…