frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,339
Nimepata mdada wa kazi kwang, nimchapakazi sana, msafi na mwang umpenda sanaaa kwa ufupi anasifa nzuri.
But anatatizo moja tu, kinywa chake ( mdomo) Unanuka harufu kali mara kwa mara pindi hakiongea tuuu
Je wakuu nitumie nini tatizo hili liishe au dawa gani?
ASANTE.