Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
- Thread starter
- #21
Kimsingi tatizo lako ni la kihistoria.
Inawezekana umelelewa na mama wa kambo au walezi/wazazi wakali wenye tabia za kufokea watoto na wasio wapa watoto nafasi ya kujieleza pale wanapokosea.
Jambo hili likakujengea hofo,woga na kutojiamini mpaka hapo ulipofikia.
DAWA/UTATUZI
Anza kwa kutembelea shule ya chekechea imba nao,cheza nao,wape nasaha taratibu ukimaliza makundi ya chekechea unakuja,primary,sekondary,chuo hadi ktk makongamano na warsha.
JISIKIE HURU NAJUA KINACHOKUTESA NI DHANA .
Huko ndio ntakufa kabla maana nikijitahidi kulazimisha kuongea jasho linanitoka hata kama kuna baridi na mikono saa hio haiwezi kishika kitu!!