Msaada, Kwanini Watu husema uwongo, kwenye vitu hata ambavyo havihitaji uwongo?

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,621
Reaction score
10,847
Kumekua na utaratibu wa Watu wengi kusema uwongo, ambao mwisho wa siku huleta Maumivu, na kupoteza muda kutoka kwa maneno yao ya Uwongo. Je! Kwanini watu hudanganya.
Mfano. Unakuta Unamwambia Mtu kitu kipo wakati hakipo, na unazidi kudanganya kadri muda unavyoenda. Nini mvuto ubaokuja kufanya hivi?
 
Uongo
Uhongo
Ubongo
Ulongo
Urongo
Uwongo
Muwongo
Mawongo
 
Anayejuana na huyu member nje ya JF naomba mumwambie alog in Kuna Jambo langu nilimuandikia PM hajanijibu mpaka Leo ni muhimu Sana aliniahidi kunisaidia
Chance ndoto
 
Back
Top Bottom