Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,621
- 10,847
Kweli kbsa ila kuna uongo mwngne hauna tijaPole kwa yaliyokupata, ila kusema uwongo ni part ya maisha mkuu.
Sometimes ni ngumu kukwepa kusema uongo.
Kumekua na utaratibu wa Watu wengi kusema uwongo, ambao mwisho wa siku huleta Maumivu, na kupoteza muda kutoka kwa maneno yao ya Uwongo. Je! Kwanini watu hudanganya.
Mfano. Unakuta Unamwambia Mtu kitu kipo wakati hakipo, na unazidi kudanganya kadri muda unavyoenda. Nini mvuto ubaokuja kufanya hivi?
Muongo na mulozi ni watu wa kuchoma.Baongo na bafumu bachomwe moto!Afu ni nusu uchawi huo
Bhabaya sanaMuongo na mulozi ni watu wa kuchoma.Baongo na bafumu bachomwe moto!