Msaada:Kweli kuna ugonjwa unaitwa malaria ya mifupa?

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,587
Naombeni mnijuze wataalamu .Kuna ndugu yangu kaugua mguu yapita kama mwezi na kutembea hawezi .Juzi ameenda hospital amepima ameambiwa hiyo ni malaria ya mifupa kapewa mseto anameza kama kawa kutwa Mara tatu after 8hrs .

Hiki kitu ni kigeni kwangu je ni kweli kuna malaria ya mfupa au tutafute tiba zaidi
 
Malaria ya mifupa[emoji15] [emoji15] mseto kutwa mara tatu[emoji72] [emoji72] [emoji72] [emoji72]

Bless I
 
Iko hv mtu anapopatwa na maradhi au ugojwa kadiri unavyo kuwa ndivyo unavyozidi kuathiri viungo SO kwa huyo mgojwa wako huwenda kapata Complication kutokana na hyo malaria mpka ikampelekea kumuathiri mifupa ndio maana wakakwambia ana malaria ya Mifupa
 
Ahsante kiongozi na je kumpa mseto wako sahihi?

blame no body
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…