Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Naombeni mnijuze wataalamu .Kuna ndugu yangu kaugua mguu yapita kama mwezi na kutembea hawezi .Juzi ameenda hospital amepima ameambiwa hiyo ni malaria ya mifupa kapewa mseto anameza kama kawa kutwa Mara tatu after 8hrs .
Hiki kitu ni kigeni kwangu je ni kweli kuna malaria ya mfupa au tutafute tiba zaidi
Hiki kitu ni kigeni kwangu je ni kweli kuna malaria ya mfupa au tutafute tiba zaidi