Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
asante kwa ushauri wako mkuu, blog yangu ni blogspotBlog yako ni blogspot,wordpress au umetengeneza mwenyewe kwa html? Ilo moja
Mbili,Kama ni bologspot ulikua unatumia Google analytics kuona Traffic base yako inapotokea kwa wingi? mfano TZ,US au Europe kabla ya kubadili templates?
Tatu,Muda gani umechukua mpaka useme umekata tamaa kwanini usisubiri ata miezi kadhaa Traffic base yako izoee template mpya?
Nne,Jaribu kuanalyse mwenyewe uone wapi umekosea na urekebishe kwasababu sidhani kama utapata msaada exactly unaohitaji hapa JF
Kama watembeleaji wako wanatoka Google search basi ni kwamba kuna algorithm update Google wameifanya. Mwezi WA kumi na WA kumi na moja, blog nyingi zimeathirika na nyingine kufa, hata Mimi na-experience kupungua Kwa watembeleaji karibu Kwa 20%. Monopoly ya Google imezidi Kwa sasa. Kiushauri pia zigeuze post zako ziwe YouTube video pia
Vinginevyo hizi algorithms za mara Kwa mara zinaweza kuua blog kabisa