msaada kwenye breki.

msaada kwenye breki.

Lady G

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
515
Reaction score
131
halooooo.
Hope mko ok wote. Jamani mwenzangu amenipiga stop ya kunido eti anasema kwa 7bu ya kwaresma, kila ninapomuhitaji hataki kabisaaa, hvi inawezekana kweli hyo ikawa 7bu au analake jambo

Asanteni kwa ushauri
 
pole sana lkn jtd kumwamini au uvumilivu ndo umekuwa tatizo kubwa sana??:nono:
 
ofcourse nilikuwa na kiu, nilivumilia kubana miguu, hatimaye simtamani tena hafu nimemchukia sana
 
Shostist hebu tujuze marital status yako, umeolewa, umechumbiwa au bado unapiga umaraja (hujaolewa uko na boyfriend)
halooooo.
Hope mko ok wote. Jamani mwenzangu amenipiga stop ya kunido eti anasema kwa 7bu ya kwaresma, kila ninapomuhitaji hataki kabisaaa, hvi inawezekana kweli hyo ikawa 7bu au analake jambo

Asanteni kwa ushauri
 
Kiu ikikuzidi sana ntafute mimi ninadawa y kiu yako.
 
Mhh kwan mpo kwenye ndo au bado? Kama kweny ndoa sio haki ila kama hampo kwenye ndoa anafanya haki kwan ni dhambi. Hata kipind cha Ramadhan weng pia huwa wanastop au kurecharge
 
maana yake anaacha ku-do kile kitu ambacho anakipenda kuliko vyote kwa wakati huu. vumilia tu na fahamu ana-enjoy sana katika siku za kawaida.
 
halooooo.
Hope mko ok wote. Jamani mwenzangu amenipiga stop ya kunido eti anasema kwa 7bu ya kwaresma, kila ninapomuhitaji hataki kabisaaa, hvi inawezekana kweli hyo ikawa 7bu au analake jambo

Asanteni kwa ushauri

Nampongeza sana kwa kujipa likizo.:clap2:

Huu ni mfungo kwani hujui?😛ray2:

Vp kwani amekuoa?
 
Back
Top Bottom