Rumi96
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 818
- 1,975
Wakuu, habari ya wakati huu! Nimeapply formula ya Concatinate nikaweka semi colon kama alama ya kuseparate data ambazo zimekuwa combined.
Yaani =CONCA(A4,";"B4,";",C4,";",D4).
Nimefanikiwa ila baadhi ya cell zipo blank nataka cell zilizo blank semi colon isitokee, msaada tafadhali. Maama semi colon inatokea hata kama cell iko blank. Mfano inakuwa:
Kuku;Bata;Mbuzi;Kondoo
Kuku;;Mbuzi;;
;Bata;;;
Natanguliza shukrani.