Msaada kwenye internet

Msaada kwenye internet

kkiwango

Senior Member
Joined
Aug 27, 2007
Posts
173
Reaction score
16
wakuu,

Nina tatizo kidogo na internet yangu, siwezi ku access baadhi ya sites kama google, gmail, blogspots, yahoo mail. Lakini naweza ku access nyingine kama hotmail, jamii forums na baadhi zisizo za kiswahili.
Hii kitu imeanza kama siku mbili zilizopita, firefox wananiambia nicheck DSN sever sijui ndio vitu gani,
Natumia wireless network ambayo ipo provided na land lord. Msaada tafadhali, sijui tatizo liko wapi.
 
Wakati mwingine kabla hujaja hapa uliza kwanza service provider wako wao ndio wakwanza kukujibu na kukupa msaada wa karibu zaidi huo ndio ushauri wangu

kingine jaribu kureset broswer yako
 
Duh,
Asante, service provider wangu amesema hakuna tatizo labda nijaribu hiyo ya ku reset browser.
 
Domain Name Server (DNS) Inachukua URL uliyoingiza e.g Google na kuitranslate kwenye I.P address ya google server, kwa sababu compyuta hazijui URL, URL ni kurahisisha binadmau kukumbuka address. So kama DNS haifanyi kazi vizuri ndo inashindwa kuipata I.P address ya Google. Jaribu kuweka hizi I.P address kwenye browser yako sehemu unapoandika address 72.14.221.17 au 72.14.221.191

Kama ikija Google basi kweli DNS mbovu, hamia OpenDNS ni free DNS service ambayo inakuaga more reliable than some ISP DNS services, Instructions za kubadili DNS server unayotumia zipo hapa.
Ikishindikana nishtue.
 
Mheshimiwa Kang!
Asante sana mkuu, nimebadili sasa natumia open DNS inafanya kazi vizuri, once again asante sana.
Cheers!!!!
 
Back
Top Bottom