Msaada kwenye kesi yangu ya Madai

U
Je. Polisi ulienda pia
 
Hivi mfano baada ya kulipa gharama zako au kama ana nyumba kuiuza,ukitaka kupata hela yako uliyotumia inakuwa tena process za kufungua mahakamni??
 
Hivi mfano baada ya kulipa gharama zako au kama ana nyumba kuiuza,ukitaka kupata hela yako uliyotumia inakuwa tena process za kufungua mahakamni??
Inanipasa nijue mali zake,ila sizijui ndio shida.
 
Unasemaje umeshinda kesi ili hali hauna nakala ya hukumu Mkuu?.

Tuachane na hayo,
Ipo hivi baada ya kushinda kesi mshinda kesi huwa ni sharti akafungue maombi ya kukaza hukumu/utekelezaji. Bila hivyo inakuwa ni ngumu sana.
Asante,nishaandika barua
 
Unasemaje umeshinda kesi ili hali hauna nakala ya hukumu Mkuu?.

Tuachane na hayo,
Ipo hivi baada ya kushinda kesi mshinda kesi huwa ni sharti akafungue maombi ya kukaza hukumu/utekelezaji. Bila hivyo inakuwa ni ngumu sana.
Siyo kila hukumu ina sifa za kukazia hukumu, hukumu zingine zinakua na sifa ya utekelezaji tu!!
 
Mambo mdogomdogo mkuu.Hata mdaiwa wako ana haki pia.Utalipwa tu.Haste-haste!
 
Utataikiwa kumfunga ila gharama zote za chakula na matibabu akiwa jela ni juu yako wewe!!kwa sasa nadhani kwa siku inaweza fikia 15000;na kila mwanzoni mwa mwezi lazima utie mpunga kwenye accounts.
Kwa mujibu wa sheria au?
Naomba unitajie hicho kifungu cha sheria
 
Kesi za madai zina usumbufu na kupoteza muda... hapo jiongeze
 
Mkuu pole sana, kesi kama yako ilishawahi nitokea ( mahakama ya ukonga pale) , mahakama ambazo watu tunaona ni mahala pazuri pa kupatia haki zetu , Siku hizi pamegeuka mgongo wa mahakimu kujiingizia kipato kwa kudhulumu haki ya mdai.

Binafsi nlipofikia hatua ya kukazia hukumu na nikaona jinsi hakimu alivyokuwa akinizungusha, na wakati huo naishi mbezi huku haki naitafutia ukonga, nikaona ni wastage of time and money, nikaamua kuachana nayo nikakubali kudhulumika million 5 na points zake.

Kimsingi inatia hasira sana, niliwaza nimkodishie mabaunsa niwalipe wakamshushie kichapo cha mbwa mwizi, na nikaanza mchakato lakini washauri wangu wa karibu walinizuia, bt nliamua kukubali matokeo till now nmegain zaidi ya hyo hela.

Ushauri wangu ni huu, achana nayo hayo , anza upya , usirudie kosa hta kama ni ndugu yako usimkope chochote. Nayeyuka kitahilatahila.
 
Kaka na mm nimepatwa na kadhia ya kudhurumiwa, kesi yangu iko ivi nilikua namtumia hela rafiki yangu mmoja hivi Ani nunulie mazao tangu mwezi wa 8 mwaka huu(maharagwe) kijijini lkn last month alinitumia msg kwamba mzigo wa mazao aliuuza ili alipe fidia kwa wazazi ambao alimpa mimba binti yao(student). Je naweza kumfungulia kesi ya utapeli
 
Jinyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…