Msaada kwenye korongo: Microsoft Visual Studio Developer

Abdulhalim

Platinum Member
Joined
Jul 20, 2007
Posts
17,215
Reaction score
3,076
Wakuu heshima mbele,

Kwa wale wana-intelligensia ya software naomba kwa hisani yenu mni-link na Microsoft Visual Studio Developer au similar software kwa ajili ya kutengeza executables kutoka kwa Cpp au Fortran sourcecodes.

Wazee nawaaminia na kutanguliza shukrani zangu kabisakabisa.

Be blessed.
 
as i said *** this link will help if u meant compilers***

goodluck
 
Wakuu heshima mbele,

Kwa wale wana-intelligensia ya software naomba kwa hisani yenu mni-link na Microsoft Visual Studio Developer au similar software kwa ajili ya kutengeza executables kutoka kwa Cpp au Fortran sourcecodes.

Wazee nawaaminia na kutanguliza shukrani zangu kabisakabisa.

Be blessed.

Visual Studio haiwezi kucompile fortan, na hata C++ nadhani inaweza ikakupa tabu bila kufanya makarate.
IDE nzuri ya C++ ni Bloodshed Software - Dev-C++

Visual Studio unaweza ukainyonya kwenye Torrent site yoyote e.g http://torrentz.com/

Pia kuna free Version inapatikana kutoka kwa Microsoft, ila feature zengine ziko disabled, ila kwa kujifunza inafaa.
 
Visual Studio haiwezi kucompile fortan, na hata C++ nadhani inaweza ikakupa tabu bila kufanya makarate.
IDE nzuri ya C++ ni Bloodshed Software - Dev-C++

Visual Studio unaweza ukainyonya kwenye Torrent site yoyote e.g Torrents Search Engine

Pia kuna free Version inapatikana kutoka kwa Microsoft, ila feature zengine ziko disabled, ila kwa kujifunza inafaa.

Ok, sasa kwa 64bit Fortran itabidi nifanyeje? any suggestion?

Kuna mtu kanambia Intel wanayo product inayoweza kufanya vyote, ila hakumbuki inaitweje na inapatikanaje
 
Back
Top Bottom