we mi namwaminia nami nilijua hawezi kuniambia hayoMzizimkavu haaply hapo, hakawii kumwambia jamaa anywe juisi ya michongoma na mizizi ya mbuyu... ni utani tu mkuu mzizimkavu
Inawezekana ni ukweli kwasababu uwa sio kila mara naumwa na nivile sijafatilia naumwa kipindi gani ngoja nijichunguze nione kuna dada nilimwelezea sio daktari alichonijibu kinafanana na wewe alisema hilo tumbo linaitaji mtoto si unajua majibu ambayo sio ya kidaktari.Mara nyingi hayo maumivu huwa yanatokea karibu na ovulation wanasema ni mayai yanakuwa yanasafirishwa maumivu si makali hata mimi huwa yananitokea na ni karibu ya siku za ovulation
Kwa sasa nipo mkoani nikija dar next week ntaenda muhimbili alafu ntakupa majibuBibie madam G ningelikushauri pia uende Hospitali ingine kupima tena au uende na vyeti vyako kuangalia tena na kupima hii (hormone) ninataka kujuwa ipo level gani?huo ndio ushauri wangu ingawa Mkuu.@ZeMarcopolo kakujibu vizuri lakini usimuamini Daktari mmoja hapo kwetu Tanzania nenda Hospitali ingine kapime tena na kapime (hormone) zako na una kilo ngapi wewe? fuata huo ushauri kisha uje utupe Feedback asante sana kwa Feedback uliyotupa.
Mh ntaenda muhimbili na haya majibu ntaleta feedback usijali.Daktari kihiyo, radiologist mulugo! Hawajui multiple follicles?
Hebu nenda hospitali nyingine na hayo majibu. Huyo uliekutana nae labda anafamya usafi hapo.
Nimetoka hospitali mda si mrefu kilichonipeleka ni kupima
maleria kama nilivyoshauriwa na Mzizimkavu
Group ya Damu
pia uwa mara moja moja naumwa chini ya tumbo upande wa kulia ila juzi nilibanwa na kichomi chini ya mbavu sio kwa muda mrefu nikaona nimweleze daktari akanishauri nifanye utrasound
VIPIMO VINAONYESHA
maleria positive
UTRASOUND REPORT ni
NORMAL ORGANS INCLUDING THE LIVER, GB, KIDNEYS SPLEEN, PANCREASE, UTERUS, AND OTHERS BUT MULTIPLE FOLLICLES ARE SEEN I IN BOTH OVARIES. Daktari anasema kila kitu kipo sawa ila hapo kwenye multiple follicles are seen I in both ovaries haelewi ila nisiwe na wasiwasi, akaniandikia dawa za maumivu sijanunua kwakuwa sisikii maumivu nilienda tu kupata ushauri kama ni tatizo kubwa. NAWASILISHA KWENU NAOMBENI MSAADA HAYO MANENO YANAMAANISHA NINI?
Mi sio mnene, Mzunguko wangu ni wa kawaida labda mpaka niame mkoa, sina ndevu wala vinyweleo vingi ni vya kawaida.Kama wewe ni mnene, damu ya mwezi inabadilika badilika, na bahati mbaya ndefu nazo zimeota au vinyweleo vimekuwa vingi mwili, basi huenda ukawa na Polycystic ovarian syndrome.
Hormone inahusiana nini na hizo follicles? Ovarian follicles ni normal anatomy, unless huyo sornographer hajui anachofanya..hiyo hormone unayotaka apime ni hormone gani?
follicles sijawai kutumia dawa ya haina yoyote tangu mwaka 2002 mpaka sasahiyo ultrasound imeandikwa multiple ovarian cysts au follicles? sina uhakika kama ni rahisi kuona follicles kwa ultrasound.na je kama ni cyst, kuna dawa umetumia hivi karibu ku-induce ovulation, mfano CLOMIPHENE?
hili tatizo lilinikumba juzi ..nikaenda hosptal uchwara nikaliwa 50 bureMara nyingi hayo maumivu huwa yanatokea karibu na ovulation wanasema ni mayai yanakuwa yanasafirishwa maumivu si makali hata mimi huwa yananitokea na ni karibu ya siku za ovulation
kawaida kuumwa mimi nimeshauriwa nizae tufollicles sijawai kutumia dawa ya haina yoyote tangu mwaka 2002 mpaka sasa
ndio niko kutafuta huyo mtoto Mungu anisaidiekawaida kuumwa mimi nimeshauriwa nizae tu
wanadai ukipevusha mayai mawili means pacha ndo unaumwa sana
sasa hizo siku z maumivu ndo ulitakiwa ukae na mzee karibu! au huna kama mimi?ndio niko kutafuta huyo mtoto Mungu anisaidie
nnae sema mara nyingi nakuwa mkoani kikazisasa hizo siku z maumivu ndo ulitakiwa ukae na mzee karibu! au huna kama mimi?
nakuaminia Mheshimiwa Dr.Kigwa.......llahMultiple follicles ni kitu cha kawaida. Kila mwezi moja wapo hupevuka na kutoka.
Iwapo kungekuwa na tatizo report ingeelezea ukubwa wa hizo follicles in which case zikiwa kubwa zaidi ya 3cm haziitwi tena follicle ila zinaitwa cyst.
Kwahiyo iwapo hauna tatizo jingine just relax, hizo follicles kila mwanamke aliye kwenye umri wa kupata mtoto anazo...
ndio niko kutafuta huyo mtoto Mungu anisaidie