Msaada kwenye majibu ya utrasound report

Msaada kwenye majibu ya utrasound report

Mzizimkavu haaply hapo, hakawii kumwambia jamaa anywe juisi ya michongoma na mizizi ya mbuyu... ni utani tu mkuu mzizimkavu
we mi namwaminia nami nilijua hawezi kuniambia hayo
 
Mara nyingi hayo maumivu huwa yanatokea karibu na ovulation wanasema ni mayai yanakuwa yanasafirishwa maumivu si makali hata mimi huwa yananitokea na ni karibu ya siku za ovulation
Inawezekana ni ukweli kwasababu uwa sio kila mara naumwa na nivile sijafatilia naumwa kipindi gani ngoja nijichunguze nione kuna dada nilimwelezea sio daktari alichonijibu kinafanana na wewe alisema hilo tumbo linaitaji mtoto si unajua majibu ambayo sio ya kidaktari.
 
Bibie madam G ningelikushauri pia uende Hospitali ingine kupima tena au uende na vyeti vyako kuangalia tena na kupima hii (hormone) ninataka kujuwa ipo level gani?huo ndio ushauri wangu ingawa Mkuu.@ZeMarcopolo kakujibu vizuri lakini usimuamini Daktari mmoja hapo kwetu Tanzania nenda Hospitali ingine kapime tena na kapime (hormone) zako na una kilo ngapi wewe? fuata huo ushauri kisha uje utupe Feedback asante sana kwa Feedback uliyotupa.
Kwa sasa nipo mkoani nikija dar next week ntaenda muhimbili alafu ntakupa majibu
 
Daktari kihiyo, radiologist mulugo! Hawajui multiple follicles?
Hebu nenda hospitali nyingine na hayo majibu. Huyo uliekutana nae labda anafamya usafi hapo.
Mh ntaenda muhimbili na haya majibu ntaleta feedback usijali.
Ila tatizo la uyo daktari labda alikuwa bize sana akajionea uvivu kunifafanulia
 
Kama wewe ni mnene, damu ya mwezi inabadilika badilika, na bahati mbaya ndefu nazo zimeota au vinyweleo vimekuwa vingi mwili, basi huenda ukawa na Polycystic ovarian syndrome.
Nimetoka hospitali mda si mrefu kilichonipeleka ni kupima
maleria kama nilivyoshauriwa na Mzizimkavu
Group ya Damu
pia uwa mara moja moja naumwa chini ya tumbo upande wa kulia ila juzi nilibanwa na kichomi chini ya mbavu sio kwa muda mrefu nikaona nimweleze daktari akanishauri nifanye utrasound

VIPIMO VINAONYESHA
maleria positive
UTRASOUND REPORT ni
NORMAL ORGANS INCLUDING THE LIVER, GB, KIDNEYS SPLEEN, PANCREASE, UTERUS, AND OTHERS BUT MULTIPLE FOLLICLES ARE SEEN I IN BOTH OVARIES. Daktari anasema kila kitu kipo sawa ila hapo kwenye multiple follicles are seen I in both ovaries haelewi ila nisiwe na wasiwasi, akaniandikia dawa za maumivu sijanunua kwakuwa sisikii maumivu nilienda tu kupata ushauri kama ni tatizo kubwa. NAWASILISHA KWENU NAOMBENI MSAADA HAYO MANENO YANAMAANISHA NINI?
 
Kama wewe ni mnene, damu ya mwezi inabadilika badilika, na bahati mbaya ndefu nazo zimeota au vinyweleo vimekuwa vingi mwili, basi huenda ukawa na Polycystic ovarian syndrome.
Mi sio mnene, Mzunguko wangu ni wa kawaida labda mpaka niame mkoa, sina ndevu wala vinyweleo vingi ni vya kawaida.
 
hiyo ultrasound imeandikwa multiple ovarian cysts au follicles? sina uhakika kama ni rahisi kuona follicles kwa ultrasound.na je kama ni cyst, kuna dawa umetumia hivi karibu ku-induce ovulation, mfano CLOMIPHENE?
Hormone inahusiana nini na hizo follicles? Ovarian follicles ni normal anatomy, unless huyo sornographer hajui anachofanya..hiyo hormone unayotaka apime ni hormone gani?
 
hiyo ultrasound imeandikwa multiple ovarian cysts au follicles? sina uhakika kama ni rahisi kuona follicles kwa ultrasound.na je kama ni cyst, kuna dawa umetumia hivi karibu ku-induce ovulation, mfano CLOMIPHENE?
follicles sijawai kutumia dawa ya haina yoyote tangu mwaka 2002 mpaka sasa
 
Mara nyingi hayo maumivu huwa yanatokea karibu na ovulation wanasema ni mayai yanakuwa yanasafirishwa maumivu si makali hata mimi huwa yananitokea na ni karibu ya siku za ovulation
hili tatizo lilinikumba juzi ..nikaenda hosptal uchwara nikaliwa 50 bure
mi naona tuzae tu sasa
 
follicles sijawai kutumia dawa ya haina yoyote tangu mwaka 2002 mpaka sasa
kawaida kuumwa mimi nimeshauriwa nizae tu
wanadai ukipevusha mayai mawili means pacha ndo unaumwa sana
 
Multiple follicles ni kitu cha kawaida. Kila mwezi moja wapo hupevuka na kutoka.

Iwapo kungekuwa na tatizo report ingeelezea ukubwa wa hizo follicles in which case zikiwa kubwa zaidi ya 3cm haziitwi tena follicle ila zinaitwa cyst.

Kwahiyo iwapo hauna tatizo jingine just relax, hizo follicles kila mwanamke aliye kwenye umri wa kupata mtoto anazo...
nakuaminia Mheshimiwa Dr.Kigwa.......llah
 
ndio niko kutafuta huyo mtoto Mungu anisaidie

mtotoo apatikan sababu ya maumivu nenda kkatubu utatafta mpaka ugagare;;tubu kwanza na mwambie mungu akuponuye wapo wanaiuumwa hatabaada ya watoto dia
 
Back
Top Bottom