Nimetoka hospitali mda si mrefu kilichonipeleka ni kupima
maleria kama nilivyoshauriwa na Mzizimkavu
Group ya Damu
pia uwa mara moja moja naumwa chini ya tumbo upande wa kulia ila juzi nilibanwa na kichomi chini ya mbavu sio kwa muda mrefu nikaona nimweleze daktari akanishauri nifanye utrasound
VIPIMO VINAONYESHA
maleria positive
UTRASOUND REPORT ni
NORMAL ORGANS INCLUDING THE LIVER, GB, KIDNEYS SPLEEN, PANCREASE, UTERUS, AND OTHERS BUT MULTIPLE FOLLICLES ARE SEEN I IN BOTH OVARIES. Daktari anasema kila kitu kipo sawa ila hapo kwenye multiple follicles are seen I in both ovaries haelewi ila nisiwe na wasiwasi, akaniandikia dawa za maumivu sijanunua kwakuwa sisikii maumivu nilienda tu kupata ushauri kama ni tatizo kubwa. NAWASILISHA KWENU NAOMBENI MSAADA HAYO MANENO YANAMAANISHA NINI?