Msaada kwenye majibu ya utrasound report

Angekuwa na dalili ya Polycystic Ovarian Syndrome malalamiko yake yangekuwa tofauti kabisa, umeshawahi kukutana na mgonjwa wa Polycystic Ovarian Syndrome au theory tu?

Polycystic Ovary Syndrome (PCOS) - Topic Overview

What is polycystic ovary syndrome (PCOS)?

Polycystic ovary syndrome (say "pah-lee-SIS-tik OH-vuh-ree SIN-drohm") is a problem in which a woman’s hormones are out of balance. It can cause problems with your periods and make it difficult to getpregnant. PCOS may also cause unwanted changes in the way you look. If it is not treated, over time it can lead to serious health problems, such as diabetes andheart disease.
Polycystic ovary syndrome (or PCOS) is common, affecting as many as 1 out of 15 women. Often the symptoms begin in the teen years. Treatment can help control the symptoms and prevent long-term problems.
What are hormones, and what happens in PCOS?

Hormones are chemical messengers that trigger many different processes, including growth and energy production. Often, the job of one hormone is to signal the release of another hormone.
For reasons that are not well understood, in PCOS the hormones get out of balance. One hormone change triggers another, which changes another. For example:

What are the symptoms?

Symptoms tend to be mild at first. You may have only a few symptoms or a lot of them. The most common symptoms are:

  • Acne.
  • Weight gain and trouble losing weight.
  • Extra hair on the face and body. Often women get thicker and darker facial hair and more hair on the chest, belly, and back.
  • Thinning hair on the scalp.
  • Irregular periods. Often women with PCOS have fewer than nine periods a year. Some women have no periods. Others have very heavy bleeding.
  • Fertility problems. Many women who have PCOS have trouble getting pregnant (infertility).
  • Depression.
Most women with PCOS grow many small cysts on their ovaries. That is why it is called polycystic ovary syndrome. The cysts are not harmful but lead to hormone imbalances.
What causes PCOS?

The symptoms of PCOS are caused by changes in hormone levels. There may be one or more causes for the hormone level changes.
PCOS seems to run in families, so your chance of having it is higher if other women in your family have PCOS, irregular periods, or diabetes. PCOS can be passed down from either your mother's or father's side.
How is PCOS diagnosed?

To diagnose PCOS, the doctor will:

Professionally nafanyaga ultrasound katika ovary periphary kunakuwa na follicles ambyo moja wpo dominant(functional) ovum(yai) itaiva (ovulate) kwa kawaida huwa hazizd cm 2.5cm zkiwa size hii huwa hazina dalili yoyote ile na zkiwa stage fulani ya mzunguko(menstrual cycle) hupotea-degenerate !lakn sonographer(mfanya-ultrasound) anatakiwa kuzi report kwa sababu zngne huwa znaendelea kukua na kusababisha maumivu ya tumbo la chini LAP,dalil kama ganzi ya miguu,maumivu hd mgongoni na mengine hupasuka -hemmorhagic cyst!so yakipotea whch means ni ya kawaida na yakikua yanakuwa complex ambapo napo yamegawanyika kuna yale ambayo uyana kuta nyembamba na ndani maji(cystic mass) ambayo hutegemea size vlevle diagnosis yake na yale ambayo yana maji na viuz uzi ndani -complex ovarian cyst!!aisee kwa leo ngoja niishie hapo kwa suala lako hauna tatzo!ntafute PM me

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ningemshauri mleta hoja akuone umfanyie hiyo sornography afu kama ataridhia utupe findings..maana naona miluzi mingi humpoteza mbwa...
 
Kinachonifuraisha JF bana topic ikiwa ya Maloveee asee hapa kurasa nyingi zingeshajazwa, lakini jambo kama hili linapigwa danadana tu! Hivi kweli humu JF hatunaga madaktari wa ukweli jamani. Hebu madaktari mjitokezee!
Natamani kwenda kusomea udaktari-pamoja na kupewa 100% ya mkopo mavyuoni bado hollaaaaa!
Bora serikali iwaruhusu "lambalamba" basi!:A S 39:
 
Angekuwa na dalili ya Polycystic Ovarian Syndrome malalamiko yake yangekuwa tofauti kabisa, umeshawahi kukutana na mgonjwa wa Polycystic Ovarian Syndrome au theory tu?
Mkuu Kop hiyo nimekujibu

wewe uliye niuliza kuhusu Hormone sikumjibu aliye uliza swali jaribu kunielewa vizuri usichanganye mambo tafadhali

ninarudia tena hatukuja hapa kushindana mimi na wewe tumekuja hapa kumsaidia mwenzetu wewe toa ushauri wako

na mimi ninatoa ushauri wangu jibu nimesha mjibu aende hospitali ingine kuangalia vizuri na pia ikiwezekana aangalie

Hormone birth zake zikoje? wewe usilete mambo ya Ligi hapa tafadhali hatukuja kushindana kama unaweza msaidie huwezi achana nae ndio hivyo usinikwaze mimi.Naona unataka kuniharibia siku yangu ya leo Mkuu Kop niache kama nilivyo samahani.
 
Si ndo maana nikashangaa dr asiejua multiple follicles ni wa wapi? Uvivu nayo! Anashindwa hata kugoogle jamani?
Unajua nikiangaliaga medical mysteries documentaries za wenzetu na jinsi wanavyo dig put na kutatua tatizo; huwa najiambia huku kwetu tunachoita kulogwa ama kutotibika ni uvivu tu wa kufikiri wa madaktari japo unachangiwa na hali ngumu ya mazingira ya kazi na kukosa vifaa. Nilikutana na clinical officer mmoja akaniambia tetanus inasababishwa na kutu ya kwenye msumari (nilikuwa na kidonda nikataka kupata sindano za antitetanus). Nilijichokea nikaenda hosp nyingine.
Mkuu King'asti

What does multiple follicles in your ovaries mean?

Answer:

It means you are about to possibly release more than mature one egg for fertilization, or it may be a sign of chronic anovulation, such as in polycystic ovarian syndrome or use of hormonal birth control. Discuss the finding with your health care provider for information specific to your situation.

Ma-Daktari wetu wengi wao Kiingereza kinawapiga chenga saa ingine amesoma shule na anajuwa kiasi tu kiingereza ndio lugha ya Ki-Daktari ninashangaa Daktari mzima hajuwi hiyo maana ya multiple follicles? Ahhhh............. Wacha tu tutafika tu inshallah

Samahani sana kama naelekea kuharibu siku yako, hata mimi ligi sitaki. Let me declare professional interest, am a Doctor and I know what am doing.
HORMONE BIRTH ndio nini ?????
Ukimwambia mgonjwa apime hormone lazima uwe specific apime hormone gani...!!!
Ni hayo tu mkuu, nisamehe kama siku yako itaisha vibaya. Lakini madaktari lazima wachimbane mgonjwa afaidike
Mkuu Kop hiyo nimekujibu

wewe uliye niuliza kuhusu Hormone sikumjibu aliye uliza swali jaribu kunielewa vizuri usichanganye mambo tafadhali

ninarudia tena hatukuja hapa kushindana mimi na wewe tumekuja hapa kumsaidia mwenzetu wewe toa ushauri wako

na mimi ninatoa ushauri wangu jibu nimesha mjibu aende hospitali ingine kuangalia vizuri na pia ikiwezekana aangalie

Hormone birth zake zikoje? wewe usilete mambo ya Ligi hapa tafadhali hatukuja kushindana kama unaweza msaidie huwezi achana nae ndio hivyo usinikwaze mimi.Naona unataka kuniharibia siku yangu ya leo Mkuu Kop niache kama nilivyo samahani.
 
Dada au Mama, Ovarian follicles ni kitu cha kawaida, ndio zinakuwa na mayai ambayo bado hayajapevuka. Ulienda hospital gani? Cha muhimu ni kwenda hospital yenye mtaalam kabisa wa ultra sound au Radiologist. wapiga ultra sound wengi hawajui wanachofanya na pia huyo daktari ana qualification gani? Kama ni M.D lazima atajua anachofanya.
Si kila mvaa koti jeupe hospitali ni daktari, wengine ni C.O au A.M.O. wakati mwingine uliza, kama ni C.O au A.M.O kula kona utaibiwa daktari ni yule aliye na M.D tu

acha dharau unaweza kuwa md ila mweupe sawa na huyo co or amo
 
hata mimi nakuunga mkono...

majibu ya daktari utayajua tu hata kama hukusomea udaktari.Muwe mnakuja mara kwa mara wakuu kuondoa upotoshaji hapa.Majibu ya Zemarcopolo kwa mfano,yanaonyesha kabisa ni daktari na siyo mtu wa copy paste
 
  • Thanks
Reactions: Kop
Samahani sana kama naelekea kuharibu siku yako, hata mimi ligi sitaki. Let me declare professional interest, am a Doctor and I know what am doing.
HORMONE BIRTH ndio nini ?????
Ukimwambia mgonjwa apime hormone lazima uwe specific apime hormone gani...!!!
Ni hayo tu mkuu, nisamehe kama siku yako itaisha vibaya. Lakini madaktari lazima wachimbane mgonjwa afaidike
Tembelea hapa kuijuwa hiyo hormonal birth control. http://www.acog.org/~/media/For Patients/faq159.pdf?dmc=1&ts=20130325T1444394436
 
Samahani sana kama naelekea kuharibu siku yako, hata mimi ligi sitaki. Let me declare professional interest, am a Doctor and I know what am doing.
HORMONE BIRTH ndio nini ?????
Ukimwambia mgonjwa apime hormone lazima uwe specific apime hormone gani...!!!
Ni hayo tu mkuu, nisamehe kama siku yako itaisha vibaya. Lakini madaktari lazima wachimbane mgonjwa afaidike

umekuja kujifunza humu au?

ukisoma post ya mdau utaona kuwa mawasiliano na mwenzio yanaendelea na wala sio ktk hii thread walipoanzia.

kama unataka kuwa mshauri kama mzizi basi weye komenti ishia mtu akisoma ataona utofauti na kuchagua wafate ushauri wako au wake.

sio kukosoa kosoaaaaaaaa tu, WEKA POINT ZAKO AU USHAURI MAMBO YASONGE MBELE

mmhh kudandia
 
hakuna mtu anayekosolewa..wala hakuna foolish questions but inadequate answers, dhumuni la kuuliza ni kuelewa, hakuna mwisho wa kujifunza kila siku tunajifunza
umekuja kujifunza humu au?

ukisoma post ya mdau utaona kuwa mawasiliano na mwenzio yanaendelea na wala sio ktk hii thread walipoanzia.

kama unataka kuwa mshauri kama mzizi basi weye komenti ishia mtu akisoma ataona utofauti na kuchagua wafate ushauri wako au wake.

sio kukosoa kosoaaaaaaaa tu, WEKA POINT ZAKO AU USHAURI MAMBO YASONGE MBELE

mmhh kudandia
 
Nchi za Ulaya kuna utaratibu kwamba ultrasound za gynecology zinafanywa na gynecologist na yeye mwenyewe ndiye anayemueleza mgonjwa ameona nini na kinamaanisha nini.

Kwa kwetu Tanzania kwa vile specialists ni wachache basi ni vema kukawa na utaratibu yule aliyepiga ultrasound awe anawajibika kumfafanulia mgonjwa majibu aliyoona.

Katika case hii kama sonographer ameziita follicles basi hazina tatizo. Kwa sababu hizo wanawake wote walio kwenye umri wa kuzaa wanatakiwa kuwa nazo. Kukishakuwa na tatizo sonographer anawajibika kuelezea zaidi characteristics za hilo tatizo kama vile ukubwa, contents zake (echogenity), blood supply, uhusiano wako na organs zingine etc.

Hata hivyo kwa sababu hili tatizo lina historia yake ambayo kaka yangu MziziMkavu anaijua na sisi wengine hatuijui, basi ushauri wake unakuwa na thamani ya ziada kutokana na kuwa na taarifa zaidi (information is power)...
 
Last edited by a moderator:

Mkuu ZeMarcopolo Ni kweli ulivyo jibu huko kwetu hakuna vifaa vingi kuliko huku nje ulaya kuna vifaa vingi lakini Ma-Daktari wenye ujuzi ni wachache. Tofauti na nyumbani kuna kuna Ma-Daktari wanao ujuzi lakini Vifaa vya kufanyia Uchunguzi wa Mgonjwa ndio shida kupatikana Mimi ninafikiri Hapo Tanzania kungelikuwepo na vifaa vya uhakika vya uchuınguzi Wagonjwa wasingelikuwa wanapelekwa Eti India au south Africa kwenda kutibiwa. Waswahili Wamesema Kwenye Miti hakuna Wajenzi.
 
Kwa mtazamo wngu hapa Madam G ndo kapotezwa kabisaaa....kwa sababu wenye ujuzi wenyewe wanagongana sasa mgonjwa si ndo hofu inazidi!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dada au Mama, Ovarian follicles ni kitu cha kawaida, ndio zinakuwa na mayai ambayo bado hayajapevuka. Ulienda hospital gani? Cha muhimu ni kwenda hospital yenye mtaalam kabisa wa ultra sound au Radiologist. wapiga ultra sound wengi hawajui wanachofanya na pia huyo daktari ana qualification gani? Kama ni M.D lazima atajua anachofanya.
Si kila mvaa koti jeupe hospitali ni daktari, wengine ni C.O au A.M.O. wakati mwingine uliza, kama ni C.O au A.M.O kula kona utaibiwa daktari ni yule aliye na M.D tu
Ni hospitali ya Aghakan Iringa
 
Nchi za Ulaya kuna utaratibu kwamba ultrasound za gynecology zinafanywa na gynecologist na yeye mwenyewe ndiye anayemueleza mgonjwa ameona nini na kinamaanisha nini.

Kwa kwetu Tanzania kwa vile specialists ni wachache basi ni vema kukawa na utaratibu yule aliyepiga ultrasound awe anawajibika kumfafanulia mgonjwa majibu aliyoona.

Katika case hii kama sonographer ameziita follicles basi hazina tatizo. Kwa sababu hizo wanawake wote walio kwenye umri wa kuzaa wanatakiwa kuwa nazo. Kukishakuwa na tatizo sonographer anawajibika kuelezea zaidi characteristics za hilo tatizo kama vile ukubwa, contents zake (echogenity), blood supply, uhusiano wako na organs zingine etc.

Hata hivyo kwa sababu hili tatizo lina historia yake ambayo kaka yangu MziziMkavu anaijua na sisi wengine hatuijui, basi ushauri wake unakuwa na thamani ya ziada kutokana na kuwa na taarifa zaidi (information is power)...
alienifanyia utra sound alisema haoni tatizo nipeleke majibu kwa daktari
 
Kwa mtazamo wngu hapa Madam G ndo kapotezwa kabisaaa....kwa sababu wenye ujuzi wenyewe wanagongana sasa mgonjwa si ndo hofu inazidi!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Usiogope mkuu wote majibu yao nayasoma alafu nayatafakari hakuna hata mmoja ambaye ananitakia baya so wote majibu yao ntayafanyia kazi
 
Back
Top Bottom