doctor of philosophy
Member
- Jul 20, 2024
- 42
- 98
Hello,kama kawaida jamiiforums ikiwa ni maskani ya kupata maarifa,basi wacha nami nichote maarifa kidogo
Mwanzo kabisa nawashukuru wote ambao mliitikia positively katika thread yangu juu ya radiography na baadhi yao walinipatia material kabisa nawashukuru sana, kweli jamiiforums imejaa makada mbalimbali na wenye weredi, be blessed
Soma pia: Notes za kina au mwenye yuko na upeo wa kina kuhusu radiography
Bila kupoteza lengo niende kwenye lengo langu cozi hii ya diagnostic radiography ngazi ya diploma hapa chuoni ni mpya kwahiyo natumia platform mbalimbali kupata madini zaidi ya kujifunzia ikiwemo jamiiforums,basi kutokana na jamiiforums kuwa na watu wa maana kabisa nilikuwa nahitaji nipate mwangaza kidogo juu ya mitihani inavyotoka even past papers kwa modules zote Especially in radiographic techniques and procedures or kama kuna association ama group la radiographers itakuwa powa zaidi, nafikiri kwa wale wa muhimbili, Benjamin mkapa,Bugando etc watakuwa wanaelewa so naombeni msaada wenu
Mwisho kabisa nitumie nukuu ya mwalimu Nyerere "Elimu sio kipande cha mkate kwamba ukimmegea mwenzako nawe utapungukiwa""
Mbarikiwe nyote mtakao share na mm kwenye comments, mawazo yenu ni muhimu sana kwangu
Ahsante