Msaada kwenye slub work

Msaada kwenye slub work

themathematicalmodelling

Senior Member
Joined
Feb 2, 2018
Posts
174
Reaction score
327
Dear Team,

Introduction:
Nimefika kwenye slub stage ili niendelee na floor ya kwanza,

What do I need? Ninahitaji kupunguza gharama za materials kwa kupata twiga cement 42.5 (200 bags) direct from kiwandani pale wazo hill hivyo naomba yoyote mwenye kuweza kunisaidia hili nahitaji bags 200 direct from kiwandani kwa Bai ya kiwandani, pia ninahitaji nondo ton 4.5 direct from kiwandani kwa bei ya kiwandani hivyo naomba msaada from anyone ili kifanikisha hili

Conclusion
Please kindly naomba connection ya mtu yoyote anayeweza kifanikisha hili jambo please treat this request with seriousness
 
Option 1 Jenga na lettice,
Option 2 Kamaka na Lake steel ndio kidogo kuna unafuu wa bei za nondo in bulk
 
Dear Team,

Introduction:
Nimefika kwenye slub stage ili niendelee na floor ya kwanza,

What do I need?
Ninahitaji kupunguza gharama za materials kwa kupata twiga cement 42.5 (200 bags) direct from kiwandani pale wazo hill hivyo naomba yoyote mwenye kuweza kunisaidia hili nahitaji bags 200 direct from kiwandani kwa Bai ya kiwandani,
pia ninahitaji nondo ton 4.5 direct from kiwandani kwa bei ya kiwandani hivyo naomba msaada from anyone ili kifanikisha hili


Conclusion
Please kindly naomba connection ya mtu yoyote anayeweza kifanikisha hili jambo please treat this request with seriousness
One Thing, wazo hawauzi kwa mteja Bali wanauza kwa Agent, then agent ndio anamtafuta mteja.

Second, bei ya cement imepanda by 500Tsh per bag. Hivyo Panga hesabu zako vizuri. Kwa bei ya awali agent alikuwa anauza 14,100Tsh mpaka site kwako (hapa ilikuwa uwe unachukua 100+ bags ambayo ni 5Tons) Kwa bei ya sasa inaweza kuwa 14,600/=
Fika wasiliana na agent alie karibu nawe
 
Back
Top Bottom