Mwl Mkwaya
Member
- May 20, 2011
- 68
- 7
Nimepata frame Zanzibar hii, nataka kufungua salun ya kike ! Naomba msaada kujua huduma gani na gani nikiziweka nitakuwa nimefikia malengo na mdada akija atafurahia huduma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWANZA KABISA,Nimepata frame Zanzibar hii, nataka kufungua salun ya kike ! Naomba msaada kujua huduma gani na gani nikiziweka nitakuwa nimefikia malengo na mdada akija atafurahia huduma.
KWANZA KABISA,
HAKIKISHA KWAMBA MTOA HUDUMA UWE WEWE MWENYEWE AU MKEO (Tena mwaminifu),
VINGINEVYO UNAPIGWA !!!