jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
- Thread starter
-
- #21
je fundi umeme anaweza kulitatua tatzo hlo au mpka mechanics?Sina jibu la moja kwa moja. Sababu shida ya control box huwa inakuwa shida ya Software.
Ndo maana ukirelearn control box tatizo linapotea mara moja.
je fundi umeme anaweza kulitatua tatzo hlo au mpka mechanics?
inshort kila kitu kwenye gear box nmeweka kipya na waliipeleka kwenye diagnosis mashine ikasoma hakuna shda jpo now gari imeanza na kutoa moshi mweusi shda inaweza kuwa nin wakuu
msaada
nimefunga leo gear box mpya na yenyewe pia inachelewa kupokea japo syo sana kama ile ya mwnzo mpka nkanyage moto kidogo ndo inabadilk but ili kumaliza inabidi nikanyage mpka mwsho kabisa nahisi kuna kitu natakiwa nifanye sema sijakijuaHizi baby walker ukitaka zisikupasue kichwa hivi vitu vidogo kama hivyo ungeng'oa hiyo gearbox haifiki hata 400K ukaweka nyengine used zipo chungu mbovu pale Ilala kama upo Dar hiyo ya kufungua funga fungua funga huku ukinunulishwa vipuri unaweza jikuta umetumia laki5 huku gari bado inasumbua.
Kabla hujaumia zaidi nunua box mpya au kama gari imefanyiwa diagnoses na inaonekana hakuna tatizo tafuta manual yake soma inadai oil gani nunua uweke inaweza kutulia.
Umejaribu kufanya diagnosis..?nimefunga leo gear box mpya na yenyewe pia inachelewa kupokea japo syo sana kama ile ya mwnzo mpka nkanyage moto kidogo ndo inabadilk but ili kumaliza inabidi nikanyage mpka mwsho kabisa nahisi kuna kitu natakiwa nifanye sema sijakijua
bado sijafanya mkuu je nikifanya inaweza kunionyesha tatizo na kuwa solved? na je gari zote zikibadilishwa gear box ni lazma zifanyiwa diagnosis?Umejaribu kufanya diagnosis..?
Mkuu mi nilikuwa na passo piston 3 ilinisumbua Sana Hadi nikauza baada ya kubadili engine. Tatizo Kama lako Lili nitesa Sana huwa ni piston rings za kwenye engine zimeisha so gari inakosa nguvu za kuongeza speed. Unaweza ukaifanyia engine overwhole itakuwa na nguvu vzr Ila muungurumo utabadilikabado sijafanya mkuu je nikifanya inaweza kunionyesha tatizo na kuwa solved? na je gari zote zikibadilishwa gear box ni lazma zifanyiwa diagnosis?
mngurumo utakuwaje?Mkuu mi nilikuwa na passo piston 3 ilinisumbua Sana Hadi nikauza baada ya kubadili engine. Tatizo Kama lako Lili nitesa Sana huwa ni piston rings za kwenye engine zimeisha so gari inakosa nguvu za kuongeza speed. Unaweza ukaifanyia engine overwhole itakuwa na nguvu vzr Ila muungurumo utabadilika
Amekinunua hivyohivyo, au na atakayenunua atakuja hapa kuomba msaada.Mkuu nianze kwa kukupa pole na nisiongee chochote kuhusu hicho kigari,kifupi tutakuzika Siku si nyingi kwa presha uza hicho nunua GARI.
Muungurumo unakuwa Kama wa Lori au fuso flani hivi, so hapo Bora nunua engine mpya (mswaki) tu hiyo overwhole pia ni gharama ilifika Hadi laki nne wakati engine mpya ni laki 7 Hadi 8mngurumo utakuwaje?
nimefanikiwa kununua gear box mpya na haya ndo matokeo
1, maboya ya gear box nikiyaweka sawa
gari inakuwa inahitaj nikanyage mafuta sana ili ibadili na kila ikibadili mfano kutoka moja kwenda mbil bas itashtua ndo ibadili nikipnguza speed kaz inaanza upya hvyo hvyo
2,nikiweka maboya tofauti ya gear box ukirud reverse inastua khuuu
alafu ukiwa unaenda mbele ukiwa unaikanyagia inakuwa inastua stua gear kama znataka kuingia then zinagoma wakat huo huo over drive ina blink na check engine inawaka
msaada
unapatikana wapi?kwa PASSO shida kubwa huwa inakuwa umeme na passo zote zinazosumbua shida huwa zinakuwa waya zina ugonjwa wa kukatika waya ndani kwa ndani..au kama umeunga fuse basi huwa inaleta huo mchezo bei ya fuse elfu moja unaunga fuse inakuletea majanga ya laki 2 au 3.hahahahahahaha.. shida fuse ya kuunga ukipima juu ipo fresh lkn chini majanga ..
kama bado kanakusumbua hakaja kaa poa 0717228064 nikusaidie mkuu.
Mkuu mie compressor yangu haifunguki na nimeambiwa shida iko kwenye control. Ukiwasha AC inabidi fan na Compressor vitembee pamoja ila inawasha fan peke yake.Sijui niseheme Siyo fundi umeme.
Ila kama mtu anavifaa sahihi kwa ajili ya kazi hiyo anaweza kulitatua.
Mimi nina mashine ambayo inaniwezesha kusolve tatizo kama hilo kwa baadhi tu ya magari. Hasa gari za toyota japo si zote.
Ninachokifahamu Compressor ya AC huwa inakuwa na clutch yake ambayo inapoengage ndio compressor huzunguka. Kitu pekee ninachoweza kufanya ni kuangalia kama huo mfumo wa clutch uko sawa nikakurekebishia. Otherwise ishu zingine zinazohusiana na AC siyo mtaalamu sana.Mkuu mie compressor yangu haifunguki na nimeambiwa shida iko kwenye control. Ukiwasha AC inabidi fan na Compressor vitembee pamoja ila inawasha fan peke yake.
Unaweza nisaidia kuchunguza? Maana kuna jamaa nimeambia anaweza resolve hilo tatizo ila sijajua kwa mbinu gani. Naogopa wasije wakanifanyia fojari za kuiunga direct na fan ili fan ikiwaka viwake vyote. Mwisho ilete shida zaidi.
poa mkuuNinachokifahamu Compressor ya AC huwa inakuwa na clutch yake ambayo inapoengage ndio compressor huzunguka. Kitu pekee ninachoweza kufanya ni kuangalia kama huo mfumo wa clutch uko sawa nikakurekebishia. Otherwise ishu zingine zinazohusiana na AC siyo mtaalamu sana.
So far nimetoka nimekuja Dodoma one time.