nimefanikiwa kununua gear box mpya na haya ndo matokeo
1, maboya ya gear box nikiyaweka sawa
gari inakuwa inahitaj nikanyage mafuta sana ili ibadili na kila ikibadili mfano kutoka moja kwenda mbil bas itashtua ndo ibadili nikipnguza speed kaz inaanza upya hvyo hvyo
2,nikiweka maboya tofauti ya gear box ukirud reverse inastua khuuu
alafu ukiwa unaenda mbele ukiwa unaikanyagia inakuwa inastua stua gear kama znataka kuingia then zinagoma wakat huo huo over drive ina blink na check engine inawaka
msaada