Msaada kwenye Tuta paso inanipasua

Imekinunua kwa bei ngapi mkuu?
 
nimefunga leo gear box mpya na yenyewe pia inachelewa kupokea japo syo sana kama ile ya mwnzo mpka nkanyage moto kidogo ndo inabadilk but ili kumaliza inabidi nikanyage mpka mwsho kabisa nahisi kuna kitu natakiwa nifanye sema sijakijua
Mkuu habari.
Gearbox ya Passo ulinunua shingapi na wapi.
 
Kwann usiokoe gharama kwa kuagizia engine na gear box mpya.
 
Ushauri wako haufai.
Tatizo dogo tu kama hilo limfanye aingie gharama kuubwa za kununua Engine + Gearbox?
Magari ya kufungua fungua kila wakati kama zipu ya jeans huwa yanatabia ya kufilisi sana wamiliki wake.

Kimsingi gari ulitaka kumaliza utata ni kubadili engine na gear box completely, utakuwa na maisha marefu na hiyo gari huko mbeleni na hautateseka.
 
Kweli inaweza kuwa tatizo ni umeme,
Mimi fundi ameshawahi kuninunulishs gear box , kumbe tatizo lilikuwa ni umeme tu.
Ni kitambo sana ila nilimpelekea fundi akanibadilishia oxygen sensor gari ikawa mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…