Msaada kwenye Tuta paso inanipasua

Msaada kwenye Tuta paso inanipasua

mambo vip wadau,
siku mbiki tatu nyuma nmenunua kipaso piston 4 cha 1290CC, kilikuwa kinashda ya kubadili gear but ukiweka reverse kinashtuka na kurud nyuma

1,nikampelekea fund wa kwanza kuna sample chini ya gear box akaitoa na kuweka mpya ikawa bado japo inabadili gear ukiiendeshea kwa manua yani unaanza L unafata 2 then D

2,fundi wa pili nae akatoa vitu kwenye gear box akaweka baadhi ya ring mpya but still the same ugonjwa uko vle vile

3.huyu watatu nae vile vile japo kwa sasa ili inadili gear inabid ukanyage moto mpka mwho kwa dakika 2 nzima ndo itachnge zaid ya hapo haichange

inshort kila kitu kwenye gear box nmeweka kipya na waliipeleka kwenye diagnosis mashine ikasoma hakuna shda jpo now gari imeanza na kutoa moshi mweusi shda inaweza kuwa nin wakuu
msaada
Imekinunua kwa bei ngapi mkuu?
 
nimefunga leo gear box mpya na yenyewe pia inachelewa kupokea japo syo sana kama ile ya mwnzo mpka nkanyage moto kidogo ndo inabadilk but ili kumaliza inabidi nikanyage mpka mwsho kabisa nahisi kuna kitu natakiwa nifanye sema sijakijua
Mkuu habari.
Gearbox ya Passo ulinunua shingapi na wapi.
 
Kwann usiokoe gharama kwa kuagizia engine na gear box mpya.
 
Ushauri wako haufai.
Tatizo dogo tu kama hilo limfanye aingie gharama kuubwa za kununua Engine + Gearbox?
Magari ya kufungua fungua kila wakati kama zipu ya jeans huwa yanatabia ya kufilisi sana wamiliki wake.

Kimsingi gari ulitaka kumaliza utata ni kubadili engine na gear box completely, utakuwa na maisha marefu na hiyo gari huko mbeleni na hautateseka.
 
Kweli inaweza kuwa tatizo ni umeme,
Mimi fundi ameshawahi kuninunulishs gear box , kumbe tatizo lilikuwa ni umeme tu.
Ni kitambo sana ila nilimpelekea fundi akanibadilishia oxygen sensor gari ikawa mpya
 
Back
Top Bottom