Msaada kwenye Tuta paso inanipasua

Msaada kwenye Tuta paso inanipasua

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,530
Reaction score
9,550
mambo vip wadau,
siku mbiki tatu nyuma nmenunua kipaso piston 4 cha 1290CC, kilikuwa kinashda ya kubadili gear but ukiweka reverse kinashtuka na kurud nyuma

1,nikampelekea fund wa kwanza kuna sample chini ya gear box akaitoa na kuweka mpya ikawa bado japo inabadili gear ukiiendeshea kwa manua yani unaanza L unafata 2 then D

2,fundi wa pili nae akatoa vitu kwenye gear box akaweka baadhi ya ring mpya but still the same ugonjwa uko vle vile

3.huyu watatu nae vile vile japo kwa sasa ili inadili gear inabid ukanyage moto mpka mwho kwa dakika 2 nzima ndo itachnge zaid ya hapo haichange

inshort kila kitu kwenye gear box nmeweka kipya na waliipeleka kwenye diagnosis mashine ikasoma hakuna shda jpo now gari imeanza na kutoa moshi mweusi shda inaweza kuwa nin wakuu
msaada
 
Ila kama bado unakipenda jaribu kununua engen complete na gearbox yake.
Ushauri wako haufai.
Tatizo dogo tu kama hilo limfanye aingie gharama kuubwa za kununua Engine + Gearbox?
 
mambo vip wadau,
siku mbiki tatu nyuma nmenunua kipaso piston 4 cha 1290CC, kilikuwa kinashda ya kubadili gear but ukiweka reverse kinashtuka na kurud nyuma

1,nikampelekea fund wa kwanza kuna sample chini ya gear box akaitoa na kuweka mpya ikawa bado japo inabadili gear ukiiendeshea kwa manua yani unaanza L unafata 2 then D

2,fundi wa pili nae akatoa vitu kwenye gear box akaweka baadhi ya ring mpya but still the same ugonjwa uko vle vile

3.huyu watatu nae vile vile japo kwa sasa ili inadili gear inabid ukanyage moto mpka mwho kwa dakika 2 nzima ndo itachnge zaid ya hapo haichange

inshort kila kitu kwenye gear box nmeweka kipya na waliipeleka kwenye diagnosis mashine ikasoma hakuna shda jpo now gari imeanza na kutoa moshi mweusi shda inaweza kuwa nin wakuu
msaada
Kuna wakati fundi anaweza kuchukua hatua ya juu sana kutatua tatizo wakati kumbe sababu ya tatizo ni kitu kidogo tu. Hebu kaa na fundi aangalie kama cable iliyo kati ya clutch na gear box inafanya kazi vizuri, hiyo cable ikiwa inakwama haivutiki vizuri gear box haibadili. Na hapo ndio hiyo unasema mpaka ukanyage kwa nguvu au muda mrefu

Kama cable iko sawa kitu cha kufanya ni kubadili gear box yote sio parts

Kuhusu kutoa moshi angalia firing yaani plugs na nozzles
 
1. Fundi wa kwanza alitoa sample chini ya gear box na kuweka mpya.

Kulichowekwa ni kipya au used?
Una maana gani sample?

2. Fundi wa tatu akafanya vile vile - vipi?

Shida kubwa uliyo nayo ni gearbox hiyo kuwa imefunguliwa funguliwa. Kwa kawaida ziko madhubiti sana. Kwamba waliofungua wanauelewa nayo - inatisha.

Matatizo mengi ya AT gearboxes huwa kwenye transmission fluid level zaidi. Baada ya umbali fulani inabidi kuibadili na iliyo compatible.

Hapo ulipo sasa karibu angalau kuhakiki ATF type pia level kama ni sahihi. Kwa maelezo yako inachelewa kubadili gia.

Kupata gearbox nzima ni wazi ndiyo ulio ufumbuzi bora kwako kwa sasa.
 
Pole mi nimeuza kangu juzi piston 3 cc 990 baada ya hapo nikajipiga na balimi maana asb nikiamka lazima nitafute wadau 3 wakisukume kupata mwendo tofauti na hapo haisoge hata sentimeta 1 ilikuwa majanga makubwa nasema Bora kutembea kwa miguu kuliko kununua gari umiza kichwa kwa mtu najipanga kununua used ya Japan
 
Hebu tafuta fundi mzuri aangalie shifter cable, au transmission fluid...

transmission fluid ikijaa sana au ikipungua sana au ikichoka sana huwa inaleta hayo mapicha picha..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kama hivyo ni vizima, na solenoid kama ni nzima, kanunue tu transmission nyingine..
 
mambo vip wadau,
siku mbiki tatu nyuma nmenunua kipaso piston 4 cha 1290CC, kilikuwa kinashda ya kubadili gear but ukiweka reverse kinashtuka na kurud nyuma

1,nikampelekea fund wa kwanza kuna sample chini ya gear box akaitoa na kuweka mpya ikawa bado japo inabadili gear ukiiendeshea kwa manua yani unaanza L unafata 2 then D

2,fundi wa pili nae akatoa vitu kwenye gear box akaweka baadhi ya ring mpya but still the same ugonjwa uko vle vile

3.huyu watatu nae vile vile japo kwa sasa ili inadili gear inabid ukanyage moto mpka mwho kwa dakika 2 nzima ndo itachnge zaid ya hapo haichange

inshort kila kitu kwenye gear box nmeweka kipya na waliipeleka kwenye diagnosis mashine ikasoma hakuna shda jpo now gari imeanza na kutoa moshi mweusi shda inaweza kuwa nin wakuu
msaada

Injini na digital washa koroga .mafundi wengi ni wa kubahatisha wala sio wa shule.

Hili swala litakuja kuleta upinzani.
Kuna mafundi kuotea mpaka kupima gari na kutengeneza gari.
Mafundi wazuri ni wale wasomea umeme ndio wa zuri
 
mambo vip wadau,
siku mbiki tatu nyuma nmenunua kipaso piston 4 cha 1290CC, kilikuwa kinashda ya kubadili gear but ukiweka reverse kinashtuka na kurud nyuma

1,nikampelekea fund wa kwanza kuna sample chini ya gear box akaitoa na kuweka mpya ikawa bado japo inabadili gear ukiiendeshea kwa manua yani unaanza L unafata 2 then D

2,fundi wa pili nae akatoa vitu kwenye gear box akaweka baadhi ya ring mpya but still the same ugonjwa uko vle vile

3.huyu watatu nae vile vile japo kwa sasa ili inadili gear inabid ukanyage moto mpka mwho kwa dakika 2 nzima ndo itachnge zaid ya hapo haichange

inshort kila kitu kwenye gear box nmeweka kipya na waliipeleka kwenye diagnosis mashine ikasoma hakuna shda jpo now gari imeanza na kutoa moshi mweusi shda inaweza kuwa nin wakuu
msaada
Kama ukishindwa kabisa kusolve tatizo lako nicheck kwa 0621 221 606.
 
Kuna wakati fundi anaweza kuchukua hatua ya juu sana kutatua tatizo wakati kumbe sababu ya tatizo ni kitu kidogo tu. Hebu kaa na fundi aangalie kama cable iliyo kati ya clutch na gear box inafanya kazi vizuri, hiyo cable ikiwa inakwama haivutiki vizuri gear box haibadili. Na hapo ndio hiyo unasema mpaka ukanyage kwa nguvu au muda mrefu

Kama cable iko sawa kitu cha kufanya ni kubadili gear box yote sio parts

Kuhusu kutoa moshi angalia firing yaani plugs na nozzles
Gearbox za Gari za miaka ya 90 ndio zilikuwa na hiyo cable. Gearbox za kuanzia miaka ya 2000 na kuendelea nyingi hazina hiyo cable.

Na hata kwenye Passo haipo.
 
1. Fundi wa kwanza alitoa sample chini ya gear box na kuweka mpya.

Kulichowekwa ni kipya au used?
Una maana gani sample?

2. Fundi wa tatu akafanya vile vile - vipi?

Shida kubwa uliyo nayo ni gearbox hiyo kuwa imefunguliwa funguliwa. Kwa kawaida ziko madhubiti sana. Kwamba waliofungua wanauelewa nayo - inatisha.

Matatizo mengi ya AT gearboxes huwa kwenye transmission fluid level zaidi. Baada ya umbali fulani inabidi kuibadili na iliyo compatible.

Hapo ulipo sasa karibu angalau kuhakiki ATF type pia level kama ni sahihi. Kwa maelezo yako inachelewa kubadili gia.

Kupata gearbox nzima ni wazi ndiyo ulio ufumbuzi bora kwako kwa sasa.
Kuchelewa kubadili gear kama siyo fluid basi huwa Control box na mara chache sana Speed sensors.
 
Hebu tafuta fundi mzuri aangalie shifter cable, au transmission fluid...

transmission fluid ikijaa sana au ikipungua sana au ikichoka sana huwa inaleta hayo mapicha picha..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kama hivyo ni vizima, na solenoid kama ni nzima, kanunue tu transmission nyingine..

Hizi gearbox sina hakika kama zina shifter cable. Imefutwa kwenye gearbox nyingi za miaka ya kuanzia 2000 na sijawahi iona kwenye Passo.
 
Back
Top Bottom