Msaada kwenye Tuta. Tuisaidie nchi sisi Wazalendo wa kweli

Msaada kwenye Tuta. Tuisaidie nchi sisi Wazalendo wa kweli

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Kwa hii nchi ilivyo sasa inahitaji moyo wa Kizalendo sana mbele za watu wenye akili kusema wewe ni Mtanzania. Watakuuliza maswali ya kuudhi sana. Kuna watu wananiuliza je nmekuja nchini kwao uhamishoni?

Nakimbia kutekwa na kuuawa? Anyway. Kuna watu kadhaa wameniagiza kahawa from Tz wanataka made in Tz. Ili waone ufaaji au ubora wake. Maswali yangu ni haya.
1. Kahawa brand ipi ambayo ni nzuri sana kwa Tz?

2. Je naruhusiwa kusafiri nayo vile vikopo vidogo? Sijawahi beba anything from here to nchi nyingine zaidi ya Mapoumbouh yangu tu.

Wadau nina siku kadhaa hapa. Ntakuwepo kwa week moja zaidi. Nataka nitembee tembee tu some places za Tz kisha niliamshe dude. Tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom