Rayns
Kwa faida ya wote Kuna laptops za aina nying tu unaweza kufanyig masuala ya graphics lakini Cha kuzingatia ni mambo yafuatayo
1. Storage hatafute HDD au sdd za kisasa ambazo zenye ukubwa wa 500Gb au 1Tb au anaweza chagua laptops ambazo Zina support HDD na Sdd
2. Kioo hakikishe anatafuta kioo yenye kuona vizuri hapa nazungumzia resolutions kuanzia 1600 × 900 au 1920 × 1080 hii ni nzuri kuanzia kwenye ku browser na kufungulia app unaziona clear kuliko 1366 × 768 ambazo laptops au desktops nying zinazo
3. Hapa kwenye graphics card kidogo ni gharama haswa ukitafuta Nvdiai GeForce GTX1050 ila sio mbaya Ukitumua And radeon ziko poa sana kuanzia R6 SERIES, R7, R9 nk.
4. Kuanzia processor ya Core i5 ambazo Zina 2 core itayokusaidia kufanya kazi kwa urahisi bila kuchoka mashine yako, Ram kuanzia 8Gb DDR4 ndo nzuri.
Brand nzuri ni Hp, Lenovo, Thinkpad na Mac Book Pro.
Teknolojia ni Yetu😎