Msaada kwenye tuta Wana Tech

Msaada kwenye tuta Wana Tech

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Nipeni Specifications za computer zinazo support kazi za Graphics design

Especially

InDesign

Adobe Photoshop

Illustrator

Nataka ku base humo
 
Kama inahitaji kumaliza kazi chukua tu gaming pc mkuu 7th gen core i7 ikiwa na dedicated 4gb ndani umemaliza
 
Tafuta PC yenye hizi graphic cards, au nunua PC ya kawaida halafu chomeka hizi graphic cards....

1. Nvidia GeForce RTX 4070 Super
2. AMD RX 7900 GRE ·
 
Tafuta PC yenye hizi graphic cards, au nunua PC ya kawaida halafu chomeka hizi graphic cards....

1. Nvidia GeForce RTX 4070 Super
2. AMD RX 7900 GRE ·
Hizo ni Overkill kwa kazi zake za graphics.
 
Nipeni Specifications za computer zinazo support kazi za Graphics design

Especially

InDesign

Adobe Photoshop

Illustrator

Nataka ku base humo
Kama kazi zako ni hizo tu, na hutawai kuja kufanya modelling ya kitu chochote wala kugusa video, Unahitaji computer ya kawaida kabisa, Kama ni Desktop tafuta Core i5 8th gen, RAM 8GB ila uki upgrade mpaka 16GB itakufaa zaidi. Kama ni Desktop bei elekezi ni 400 kwa complete computer kwa Laptops sijui ila jipange upate GPU hata kadogo tu katatosha.
 
Nipeni Specifications za computer zinazo support kazi za Graphics design

Especially

InDesign

Adobe Photoshop

Illustrator

Nataka ku base humo
Rayns

Kwa faida ya wote Kuna laptops za aina nying tu unaweza kufanyig masuala ya graphics lakini Cha kuzingatia ni mambo yafuatayo
1. Storage hatafute HDD au sdd za kisasa ambazo zenye ukubwa wa 500Gb au 1Tb au anaweza chagua laptops ambazo Zina support HDD na Sdd
2. Kioo hakikishe anatafuta kioo yenye kuona vizuri hapa nazungumzia resolutions kuanzia 1600 × 900 au 1920 × 1080 hii ni nzuri kuanzia kwenye ku browser na kufungulia app unaziona clear kuliko 1366 × 768 ambazo laptops au desktops nying zinazo

3. Hapa kwenye graphics card kidogo ni gharama haswa ukitafuta Nvdiai GeForce GTX1050 ila sio mbaya Ukitumua And radeon ziko poa sana kuanzia R6 SERIES, R7, R9 nk.

4. Kuanzia processor ya Core i5 ambazo Zina 2 core itayokusaidia kufanya kazi kwa urahisi bila kuchoka mashine yako, Ram kuanzia 8Gb DDR4 ndo nzuri.

Brand nzuri ni Hp, Lenovo, Thinkpad na Mac Book Pro.

Teknolojia ni Yetu😎
 
Uchanganuzi mzuri sana mkuu 🤝🤝🤝 lakini Kwanini haujataja brand ninayotumia (Dell)😂
 
Hii ni budget ya msosi ya mwaka mzima 2025 mpaka 2026
Yeye hajasema bajeti yake, huwezi kujua labda ana uwezo huo
Au anaweza hata zile modeli ya zamani kama hii
1739730238405.jpeg
 
Nipeni Specifications za computer zinazo support kazi za Graphics design

Especially

InDesign

Adobe Photoshop

Illustrator

Nataka ku base humo
Graphic design ambazo picha hazitembei sio demanding sana, machine yoyote ya karibuni inafanya hii kazi bila shida, hakikisha tu per core perfomance ni kubwa na ina ssd. Kuna rare scenario ukahitaji Gpu ya nje ila most of time sio lazima.
 
Nipeni Specifications za computer zinazo support kazi za Graphics design

Especially

InDesign

Adobe Photoshop

Illustrator

Nataka ku base humo
Tech is not static thing, Kila Wakati Kuna new version za software,msaada Wangu ilivyo taja hap sio vingi angalia current specifications za Kila software hapo , hasa graphics card, tumia hata msaada wa Robot (Gemini)

NOTE: ukichagua Tehama hautakiwi kuwa mvivu , nakumbushia tu

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom