Msaada kwenye tuta

Msaada kwenye tuta

NEEMA JS

Member
Joined
May 30, 2011
Posts
10
Reaction score
3
Nisaidieni jamani.....natafuta kazi mpaka nachanganyikiwa.
Nina bachelor ya social science na experience ya mwaka mmoja (internship) katika program assistant- sera na utawala bora.
Msaada plzzzzzzzz
 
pole dada, cha muhimu usichague kazi, hata ukiitiwa kazi ya Usecretary usikatae bora uingie kwenye mtandao wa kazi na hapo ndipo utakapoweza kupata kazi uliyosomea
 
Nisaidieni jamani.....natafuta kazi mpaka nachanganyikiwa.Nina bachelor ya social science na experience ya mwaka mmoja (internship) katika program assistant- sera na utawala bora. Msaada plzzzzzzzz
Pole Dada! Lakini...! Kama huna kazi na unayo hiyo (sijui kizungu) bachelor si bora uiuze upate mtaji wa biashara!!? Na ubakiwe na hizo zingine social science na hiyo experience ya mwaka mmoja!!
 
nilishawahi kuambiwa kuna watu akili zao hazipo kichwani nikabisha..... ila huyu... ninaamini zipo ma*ta*ko*ni.....
 
Pole Dada! Lakini...! Kama huna kazi na unayo hiyo (sijui kizungu) bachelor si bora uiuze upate mtaji wa biashara!!? Na ubakiwe na hizo zingine social science na hiyo experience ya mwaka mmoja!!

former Ze uchungu staunch enthusiast,yet to metamorphose himself/herself to fit in the great thinkers pool.Give him sometime guys
 
Pole Dada! Lakini...! Kama huna kazi na unayo hiyo (sijui kizungu) bachelor si bora uiuze upate mtaji wa biashara!!? Na ubakiwe na hizo zingine social science na hiyo experience ya mwaka mmoja!!

hv ww mzima kweli?
 
Kwa nini usiombe ualimu History kiswahili si unaweza fundisha
 
Social science ni very wide, hujasema umespecialize nini; je ni PSPA, Sociology, land use, nk.
 
Back
Top Bottom