Msaada kwenye tuta

Dormant Account

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2022
Posts
11,308
Reaction score
32,757
Ipo hivi unakutana na demu unamtongoza unampa maneno ya kibao ya kuwa unampenda mara paap anakuomba smartphone yako kuna vitu atakagua kama kweli unampenda au jau tu.

Kwahyo Situation utampa simu yako au?
 
Watoto tu walioanza kubalehe ndio wenye michezo hio
 
Anazngua huyo sema kam n mm nampa maan simu yngu nimeipga lock kila mahaLi🤣🤣
 
Jf siku hizi imekuwa na mambo ya FB sana
 
Ipo hivi unakutana na demu unamtongoza unampa maneno ya kibao ya kuwa unampenda mara paap anakuomba smartphone yako kuna vitu atakagua kama kweli unampenda au jau tu.

Kwahyo Situation utampa simu yako au?
I’ve been there... kinachopimwa ni konfidensi hapo.
Anyway mi nilimpa na simu ilikua na mabalaa ila ajabu hakutazama kitu aliandika namba yake ya simu tu.

Nakushauri ikitokea tena mpe halafu uwe na majibu yanayoeleweka kwa kinachoendelea kwenye simu yako.
 
Sasa simu yangu inahusiana nini hapo? simu yangu yangu siwezi mpa mtu aikague labda mahakama au polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…