Msaada labour court rule 2007 gn 106

Msaada labour court rule 2007 gn 106

SEPO

Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
53
Reaction score
16
Tafadhali wanajamvi naombeni nisaidieni gn.106 labour court rules 2007
 
Nunua kitabu kiitwacho TANZANIA LABOUR STATUTE kinazo Acts na Rules zote zikiwamo hizo unazohitaji. Nimetafuta hazipo kwenye website yoyote. Mimi nilinunua hicho kitabu kinanisaidia.
 
Kinapatika wapi hicho kitabu na ni how much?
 
Nenda Pamba Road ,mtaa unaopatikana nyuma ya New Africa Hotel, ikishindikana nenda maktaba ya High Court...Pia nenda Duka la serikali
 
Je, maktaba ya High Court wanaruhusu kila mtu kuingia. Je Court of Appeal wana makataba? Nayo wanaruhusu kuingia kila mtu?
 
Back
Top Bottom