Shida yangu ipo hapo katika sentensi yako ya mwisho...........HOTSPOT ya PC ndio haifanyi kazi........Ukiwa umeconnect ethernet cable, ni nadra Sana WiFi ya PC kufanya kazi, kwa sababu previously wifi ilikua designed kwa ajili ya kushare (kupokea) internet connection kutoka other sources nje ya hio PC. Sasa unapojaribu kuwasha Wifi ya PC na huku tayari kuna internet access through ethernet cable lazima igome.
Kama umeconnect ethernet cable, unawez kuwasha hotspot ya PC ili device nyingne nje ya PC yako ziweze kupata internet connection.
Kama Hotspot haifanyi kazi huenda drivers za Hotspot hazijakaa sawa.Nataka kuwasha Hotspot....
Nataka laptop iwe na uwezo wa kushea internet through Hotspot..........nilidhani shida inaanzia hapo WiFi inapokuwa haipo active.mbona ni kama unataka kuwa na network mbili kwa wakati mmoja?
au moja haina internet na nyingine ina data tofauti?
hapo sasa nimekuelewa, ila sasa application zipo nyingi za kufanya hivyoNataka laptop iwe na uwezo wa kushea internet through Hotspot..........nilidhani shida inaanzia hapo WiFi inapokuwa haipo active.
mimi nimewahi kutumia 'conectify'Kama zipi hizo applications...
Ebwanae nami naomba unisaidie kwa hili,kuna sehemu wanenambia wanauwezo wa kunipa huduma za Ethernet je hii naweza kutumia kwa smart tv na kuunganisha kwa simu piaYaan unataka kuwasha wifi kwenye laptop au Hotspot?
Chief-MkwawaEbwanae nami naomba unisaidie kwa hili,kuna sehemu wanenambia wanauwezo wa kunipa huduma za Ethernet je hii naweza kutumia kwa smart tv na kuunganisha kwa simu pia
Ni mgeni wa haya mambo naitaji kujifunza
Ethernet ni njia ya kupitisha data kama wifi vile.Ebwanae nami naomba unisaidie kwa hili,kuna sehemu wanenambia wanauwezo wa kunipa huduma za Ethernet je hii naweza kutumia kwa smart tv na kuunganisha kwa simu pia
Ni mgeni wa haya mambo naitaji kujifunza
Sometime Hizi machine zinakuwa na network adapter ambayo haiwezi fanya mambo mawili kwa pamoja, mfano kupokea internet na kuirusha.Habari wakuu.
Nina tatizo la Laptop kutokuwa na uwezo wa kuunganisha Mobile Hotspot pale inapokuwa imeunganishwa na Ethernet Cable. Pale ninapounganisha inakuwa na uwezo wa kupata internet lakini WiFi inazima, na inafanya kutokuwa na uwezo wa kuweza kushea internet.
Naomba msaada wa kuweza kuifanya iwe na uwezo wa kutumia Ethernet Cable na WiFi kwa wakati mmoja.
Aina ni HP na ina Window 10.
Okay shukraniSometime Hizi machine zinakuwa na network adapter ambayo haiwezi fanya mambo mawili kwa pamoja, mfano kupokea internet na kuirusha.
Zipo 3rd party programs ambazo zamani tulikuwa tunatumia kama Connectify, hizi zina install 3rd party adapter unaweza ukakonect wifi kadhaa kwa mpigo ukaziunganisha na kutengeneza hotspot moja yenye speed ya wifi zote kwa mpigo.
Jaribu kutumia hii connectify me sema ilikuwa ya kulipia labda ukaisake torrent huko.
Ku - trouble shoot nimejaribu mara kadhaa sioni mabadiliko. Labda hapo katika drivers....