Msaada: Laptop Screen Record

Msaada: Laptop Screen Record

Alex Gk

Senior Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
166
Reaction score
160
Wana JF, natanguliza shukrani za dhati kwenu. Pia, tuzidi kumuomba Mungu kwa kipindi hiki kizito tunachopitia #Covid19

MADA
Kama ilivyo ainishwa hapo juu, nina tatizo la kufanya screen recording katika PC yangu. Nimejaribu kutumia software ya CAMTASIA 2018; shida ni kwamba PC inakuwa nzito ku load hadi nashindwa kuendelea na kazi husika.

PC SPECIFICATIONS
LENOVO THINKPAD X130e,
Processor, AMD E-450 APU with Radeon (tm) HD Graphics 1.65 GHZ
RAM, 4 GB
System Type, 64 bit
OS, Winsows 10 Pro

Ninaomba msaada wenu wadau SOFTWARE ipi naweza kuitumia kulingana na hitaji la screen recording ukilinganisha na spec. za machine hapo.

Nawasilisha mada kwenu GREAT THINKERS.
 
Hio cpu ni low end sana mkuu, ndio maana inakuwa nzito.

Jaribu dxtory ama fraps.

Ila sababu unatumia windows 10 sio mbaya pia ukijaribu built in video recorder bonyeza button ya windows na G kwa pamoja game bar itafunguka na kukupa option ya kurecord.
 
Wana JF, natanguliza shukrani za dhati kwenu. Pia, tuzidi kumuomba Mungu kwa kipindi hiki kizito tunachopitia #covid19

MADA
Kama ilivyo ainishwa hapo juu, nina tatizo la kufanya screen recording ktk PC yangu. Nimejaribu kutumia software ya CAMTASIA 2018; shida ni kwamba PC inakuwa nzito ku load hadi nashindwa kuendelea na kazi husika.

PC SPECIFICATIONS
LENOVO THINKPAD X130e,
Processor, AMD E-450 APU with Radeon (tm) HD Graphics 1.65 GHZ
RAM, 4 GB
System Type, 64 bit
OS, Winsows 10 Pro

Ninaomba msaada wenu wadau SOFTWARE ipi naweza kuitumia kulingana na hitaji la screen recording ukilinganisha na spec.... za machine hapo.

Nawasirisha mada kwenu GREAT THINKERS.
jaribu 4videosoftscreen capture hii ndo nyepesi ila haina video editor
 
Back
Top Bottom