Alex Gk
Senior Member
- Sep 4, 2016
- 166
- 160
Wana JF, natanguliza shukrani za dhati kwenu. Pia, tuzidi kumuomba Mungu kwa kipindi hiki kizito tunachopitia #Covid19
MADA
Kama ilivyo ainishwa hapo juu, nina tatizo la kufanya screen recording katika PC yangu. Nimejaribu kutumia software ya CAMTASIA 2018; shida ni kwamba PC inakuwa nzito ku load hadi nashindwa kuendelea na kazi husika.
PC SPECIFICATIONS
LENOVO THINKPAD X130e,
Processor, AMD E-450 APU with Radeon (tm) HD Graphics 1.65 GHZ
RAM, 4 GB
System Type, 64 bit
OS, Winsows 10 Pro
Ninaomba msaada wenu wadau SOFTWARE ipi naweza kuitumia kulingana na hitaji la screen recording ukilinganisha na spec. za machine hapo.
Nawasilisha mada kwenu GREAT THINKERS.