Msaada: Leseni ya biashara kwa ajili ya m-pesa

Msaada: Leseni ya biashara kwa ajili ya m-pesa

Js Manumbu

New Member
Joined
Apr 7, 2016
Posts
3
Reaction score
1
msaada jamani, kupata leseni ya biashara TRA, kwa biashara ya M-PESA, ina cost tsh?
 
Tafuta line kama unayo leseni ya nini anza kazi wewe utachelewa sana, utaweka lesen hukp mbeleni.
 
Nahitaji line ya m-pesa, Tigo pesa, Air tell money Arusha, mwenye kuweza kunipatia pls.
 
Kupata TIN number TRA ni bure mkuu nenda utapewa ndio utatumia kuchukulia line ya Mpesa
 
Tatizo ni leseni inapatikana manispaa ukishalipia unasubiria kwa muda usiyojulikana
 
Back
Top Bottom