chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Habarin za usiku ndugu zangu,naomb mwenye link ya mechi ya Chile na Peru,inayochezwa Leo,antumie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Install burma Tv ,utachek mech onlineHabarin za usiku ndugu zangu,naomb mwenye link ya mechi ya Chile na Peru,inayochezwa Leo,antumie.
Thnx mkuuInstall burma Tv ,utachek mech online
Sikutegemea Peru kua na mpira mkubwa kiasi hiki. Latin America mpira wao uko juuu kinoma, hii mechi kali kuliko hata ya jana.Chile kashakufa mbili bila mpaka sasa dakika ya 60
Naona Brazil ikichukua hili kombe mwaka huuSikutegemea Peru kua na mpira mkubwa kiasi hiki. Latin America mpira wao uko juuu kinoma, hii mechi kali kuliko hata ya jana.
Maiti imepiga chafyaHivi hawa PERU,
Ndio wale wa World Cup?