msaada liti mpwapwa!

msaada liti mpwapwa!

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,907
Naomba kujuzwa gharama ada na mahitaji mengine kwa mwaka 2013/14 kwa mwenye ufadhili wa serikali level ya elimu diploma!
Thnx in advance
 
kwenye fomu ya maombi kulikua na analysis ya fee structure iliyoeleza kila k2,we ulchkua form gan?
 
kwenye fomu ya maombi kulikua na analysis ya fee structure iliyoeleza kila k2,we ulchkua form gan?

Kwenye form niliyotumia mm nilichukua chuo cha kilimo tengeru na hakukuwa na sehemu ya fee kabisa au labda ilikuwepo ila mm kama mm ckuiona ngoja zile form bado ziko net nafanya review now
 
kwenye fomu ya maombi kulikua na analysis ya fee structure iliyoeleza kila k2,we ulchkua form gan?

Nimeona ila wameonesha fee inamaana cna vitu vngine vya kununua ni hiyo mchango wa chakula baaasi!?
 
yes,rafk yang amemalza mpwapwa mwaka huu kanambia wale govonment sapoted wanajtegemea chakuka tu
 
iko hivi, kwa wale wenye ufadhili wa serikali wanalipa gharama za chakula kama ifuatavyo;-
1st year ni tsh 1,102,000.
2nd year ni tsh 850,000.
na inalipwa kwa mikupuo miwili yaani nusu nusu.
 
Mbona hawatoi list ya watu walioaply kwa mwaka huu wa masomo? Na huwa wanatoaje ni kupitia posta ama kwenye magazeti! Msaada mkuu.
 
Mbona hawatoi list ya watu walioaply kwa mwaka huu wa masomo? Na huwa wanatoaje ni kupitia posta ama kwenye magazeti! Msaada mkuu.

Yameshatoka toka juzi yako kwenye website ya mifugo na uvuvi we google utapata ndg
 
iko hivi, kwa wale wenye ufadhili wa serikali wanalipa gharama za chakula kama ifuatavyo;-
1st year ni tsh 1,102,000.
2nd year ni tsh 850,000.
na inalipwa kwa mikupuo miwili yaani nusu nusu.
Okay nilikua napata mawazo ya boots and coats malazi,hvyo ndio vitu muhimu ndg
 
Back
Top Bottom