msaada,loan officer inteview

zilakina

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
293
Reaction score
77
Wadau nimeitwa kwenye interview akiba commercial bank,hivi interview ya loan officer inakuwa vp,maswali yanakuwaje?plz mnisaidie
 
mpendwa wangu ingekuwa vizuri km ungemtafuta mfanya kazi yeyote wa ACB
Mi ninachokumbuka tafuta 5Cs and wapinzani wake, n details zote za akiba
then tuambie uliombaje na siye tujaribu
 
Soma web ya akiba upate overview yao na ukipata mtu anayefanya kazi hapo itakusaidia zaidi au google
 
Kwa mwelekeo huo kijana itakuchukua muda mrefu sana kupata kazi ya maana. Nakuhakikishia usipobadirika hutakaa upate competetive kazi maishani mwako . Nshaona style yako, wewe ni kilaza namba moja. Typical Tzanian young graduate. Wewe umeshindwa hata kusearch kwenye mtandao unakuja kuuliza hapa. Ilitakiwa uwe umefanya research yako ya kutosha, sasa yale magumu uliyoyakuta ndo unakuja kuuliza hapa. Tena unauliza kwa namna ya kutaka kufahamu sio kama ulivyouliza kwa minajiri ya kukariri ukajibie usaili.

Nina uhakika kwenye barua yako ya maombi umeandika '' Iam a boy aged 27 yrs, umetaja GPA yako, madaraja uliyopata kidato cha nne na sita, na hobbies zako umeandika'' surfing, watching movies and listening to music''.
KIjana hauko serious...........................
 


Kijana acha dharau. Sio wote wameajiriwa kwa memo kama wewe.
Sio wote vilevile tunatumia net za free.

Ukienda internet cafe, unaambiwa hutakiwa kudownload mpaka ulipie, na huyu huenda hana ajira, au ni interview yake ya zaidi ya 10.

Join Date : 16th September 2011
Posts : 11
Rep Power : 0
 
swali moja la msingi ambalo ni lazima utaulizwa ni sababu au vigezo vya kumkopesha mtu au mjasiliamali mdogo
 

we ndo kilaza namba moja, bora yeye kauliza, n 'kuuliza sio ujinga' na inavyoelekea wewe ni fedhuli hujaenda shule elimu ikakukomboa angalau tu kimawazo

Mdau wetu unapoona kitu umeshindwa bora uulize kwani si wote ambao wapo humu ni wapungufu wa akili kama huyo jamaa
 
kachukue brochures za hiyo benki,ujue historia yake,ujue aina ya product zilizopo,ujue taratibu za kuchukua hiyo mikopo,challenge zilizopo,jinsi ya kudeal na default,jinsi ya kutoa mikopo zaidi ya kiwango na taratibu zake.
maswali mengine ni ya kawaida sana,mi wiki iliyopita niliitwa kwa ajili ya risk analyst lkn sikuulizwa lolote juu ya hilo bali maswali ya kawaida kabisa nadhani na wewe jiandae kisaikolojia ili ukikuta hali tofauti ujue jinsi ya kutoka
kila la heri
 

You fit the profile of kilaza. JF cannot be the remedy of your imbecility........punguza muda wa kushinda facebook na kusoma magazeti ya udaku badala yake soma vitabu hutakaa ujichore kuongea pumba hapa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…