Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mwelekeo huo kijana itakuchukua muda mrefu sana kupata kazi ya maana. Nakuhakikishia usipobadirika hutakaa upate competetive kazi maishani mwako . Nshaona style yako, wewe ni kilaza namba moja. Typical Tzanian young graduate. Wewe umeshindwa hata kusearch kwenye mtandao unakuja kuuliza hapa. Ilitakiwa uwe umefanya research yako ya kutosha, sasa yale magumu uliyoyakuta ndo unakuja kuuliza hapa. Tena unauliza kwa namna ya kutaka kufahamu sio kama ulivyouliza kwa minajiri ya kukariri ukajibie usaili.
Nina uhakika kwenye barua yako ya maombi umeandika '' Iam a boy aged 27 yrs, umetaja GPA yako, madaraja uliyopata kidato cha nne na sita, na hobbies zako umeandika'' surfing, watching movies and listening to music''.
KIjana hauko serious...........................
Wadau nimeitwa kwenye interview akiba commercial bank,hivi interview ya loan officer inakuwa vp,maswali yanakuwaje?plz mnisaidie
Kwa mwelekeo huo kijana itakuchukua muda mrefu sana kupata kazi ya maana. Nakuhakikishia usipobadirika hutakaa upate competetive kazi maishani mwako . Nshaona style yako, wewe ni kilaza namba moja. Typical Tzanian young graduate. Wewe umeshindwa hata kusearch kwenye mtandao unakuja kuuliza hapa. Ilitakiwa uwe umefanya research yako ya kutosha, sasa yale magumu uliyoyakuta ndo unakuja kuuliza hapa. Tena unauliza kwa namna ya kutaka kufahamu sio kama ulivyouliza kwa minajiri ya kukariri ukajibie usaili.
Nina uhakika kwenye barua yako ya maombi umeandika '' Iam a boy aged 27 yrs, umetaja GPA yako, madaraja uliyopata kidato cha nne na sita, na hobbies zako umeandika'' surfing, watching movies and listening to music''.
KIjana hauko serious...........................
we ndo kilaza namba moja, bora yeye kauliza, n 'kuuliza sio ujinga' na inavyoelekea wewe ni fedhuli hujaenda shule elimu ikakukomboa angalau tu kimawazo
Mdau wetu unapoona kitu umeshindwa bora uulize kwani si wote ambao wapo humu ni wapungufu wa akili kama huyo
jamaa